( MR .> IS LIKE ANAMWAMBIA NOT IN HERE MY LOVE) Mbuta nanga" SO LOVELY .! |
HAYA NI MANENO YAKE MWENYEWE MANGE!
Wow its been 2 yrs since I said “I DO” to a wonderful man….
What a journey its been… as I look back to the day we got married all I can say is ndoa sio harusi, ndoa ni kuishi na mtu mwingine, ndoa ni kuweza ku compromise na mwenzio, ndoa ni kujaribu kumwelewa mwenzio, ndoa ni tamu ukiijulia na vile vile yaweza kuwa chungu.
I really thank my somo who equipped with some serious wisdom about marriage and life.
Kwa kweli ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunitunzia ndoa yangu mpaka leo hii. Ndoa yenye furaha , mapenzi namaelewano.ameibariki ndoa yetu kwa kutuzawadia baby Kenzo ndani ya kipindi cha mwaka mmoja wa ndoa.
I hope this will be the last time we are spending the holidays apart…
*MANENO YANGU Mss FB*
KUHUSU NI KWANINI NIKAZIWEKA HIZI PICHA HAPA*
*BY MISS FB*
Kwanza kabisa mimi nimezipenda sana hivi picha kama kawaida yangu mnavyonifaham wengi wenu (WADAU )na penda picha sana, na nilivyoziona hizi nilizipenda mno.na sikuweza kuzipita na kuziacha.
Pili " Zina yale nayoyataka na nayo yazungumzia kila wakati . KUMTAMBULISHA ULONAE ,MMEO AU MPENZI WAKO ,ili wale wote Singles wapate kujua wanapokuja kudanganywa na baadhi ya hao wanaume au wapenzi wenu waelewe kwamba ANAMPENZI WAKE AU ANA MKE WAKE na wanajulikana. KWA KWELI KWA MWENDO HUU MTASAIDIA SANA NDOA ZENU KUDUM NA MAPENZI MENGI KUDUM.
NARUDIA TENA. ukiwa nae MTAMBULISHE ULIMWENGUNI.
Ni hayo tu ..mimi nimewapenda sana hawa MR & MRS!
God bless ndoa yenu izidi kudum na ya furaha milele MANGE!!
No comments:
Post a Comment