KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 21 March 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG* MISS FB FASHION POLICE OF 21/03/2012" DADA NA NGUO YAKE YA MAUA KAJIPAMBAJE !! BUT HER ACCESSORIES IS TO AVOID WITH FLORAL FABRIC KABISA!!

NGUO NZURI !
Ila unapovaa nguo ilozidiwa na mauwa kama hii usiivalie cheni ndefu juu ya nguo hiyo " SIKU ZOTE CHENI NDEFU JUU YA NGUO NI MUHIM HIYO NGUO KUSOKUWEPO NA RANGI NYINGI AU MAUA MENGI NA EPUKA CHENI YENYE RANGI NYINGI AU RANGI ZAKUFANANA NA NGUO HIYO ON TOP OF YOUR FLORAL DRESS!!OR RANGI NYINGI DRESS!! 
Na wala usiivalie cheni yenye rangi nyingi zaidi ya rangi moja, vile vile Bangili usivae bangili nyingi tena mikono yote miwili" huku nguo hiyo ikiwa ni ya mikono mirefu ,vaa mkono mmoja na lamuhim kabisa kwenye nguo hizo zisiwe zenye rangi zaidi ya rangi moja au pia zisiwe zenye maua" Yani hazitoifanyia hiyo nguo kazi yake kwako (KUKUPENDEZA)bali kukufanya uwe kama KABATI LA NGUO ( WARDROBE) AVOID KABISA MY DEARS"

No comments:

Post a Comment