facebook.com/www.mkopoexpressbyhouseofflora
ALL WELCOME KWA JUMLA AU REJA REJA" ILA JUA BEI YA JUMALA SIYO SAWA NA BEI YA REJA REJA"
Flora Bahati Lyimo" aka Fashion Police; Blogger ,Designer,Trader, Photographer Na bila kusahau Mtanzania halisi aipendae Nchi yake kupita maelezo na yupo tayari kufa akiitetea Nchi yake na Haki za Kiumbe chochote hasa Binadam kwa upande wa Wanawake na Watoto"hii ndiyo sababu kubwa yangu mimi kuanzisha huu Mkopo Express of London Accessories to Tanzania from House of Flora"
Malengo yangu makubwa ni kama ifuatavyo"
(1) Watu kuwa na kazi hasa kina Mama/Dada ili waache kujiuza usiku na mchana kwa pesa kidogo ambazo hazifikii hata £5 pound"hata elfu kumi wakipewa wanaenda kufanya au kufanyiwa mambo ya ajabu,na haya niliyaona mwenyewe nilipokwenda Moshi Nyumbani Tanzania hivi majuzi" yani mimi naamini kitendo unachosikia kwamba Polisi Tanzania wanakimbizana na kina Dada/Mama wanaujiuza mijini ni Aibu kwa Nchi yetu na kukimbizana nao siyo kuweza kuwasaidia Serekali inatakiwa kufanya Mpango wa Kazi kukuwepo kwa wingi na hao hao wakujiuza wanapokamatwa Basi na watafutiwe kazi zakufanya na kulipwa mishahara ambayo itawaburuta kutoka huko mauzoni ya miili yao" Hata hapa UK ,wengi hatuna Kazi na Serekali inawasaidia wasio na kazi na wenye funguo za milango ya kazi wapate milango ya kutumia funguo zao" ambazo ni juhudi zao zakufanya kazi na pia kujitegemea.Self-Supporting"
(2)Na naamini hili neno UMOJA sana na nikiliwatandazia lenyewe hapa,ni hivi> Ubunifu ,Maendeleo ,Ongoza,Jamii na Amani" Basi ndugu zangu Watanzania ni hayo tu kwa leo jifunzeni UMOJA" na pia karibuni sana kwenye huu Mkopo Express. Your Feedback is Important to US" We're working hard to give you the best Accessories hasa Handbags from the best Designer and bei powa" na kwa kiurahisi " We'd realy appreciate your feedback and Suggestions: You can also email:flo1974@btinternet.com
WhatsApp +44 7787471024
Welcome/Karibu