KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 31 January 2013

HUU NDO WIMBO WAKUIAMSHA TANZANIA .MBUTA NANGA!!!

facebook.com/www.mkopoexpressbyhouseofflora


ALL WELCOME KWA JUMLA AU REJA REJA" ILA JUA BEI YA JUMALA SIYO SAWA NA BEI YA REJA REJA"
Flora Bahati Lyimo" aka Fashion Police; Blogger ,Designer,Trader, Photographer Na bila kusahau Mtanzania halisi aipendae Nchi yake kupita maelezo na yupo tayari kufa akiitetea Nchi yake na Haki za Kiumbe chochote hasa Binadam kwa upande wa Wanawake na Watoto"hii ndiyo sababu kubwa yangu mimi kuanzisha huu Mkopo Express of London Accessories to Tanzania from House of Flora"
Malengo yangu  makubwa ni kama ifuatavyo"
(1) Watu kuwa na kazi hasa kina Mama/Dada ili waache kujiuza usiku na mchana kwa pesa kidogo ambazo hazifikii hata £5 pound"hata elfu kumi wakipewa wanaenda kufanya au kufanyiwa mambo ya ajabu,na haya niliyaona mwenyewe nilipokwenda Moshi Nyumbani Tanzania hivi majuzi" yani mimi naamini kitendo unachosikia kwamba Polisi Tanzania wanakimbizana na kina Dada/Mama wanaujiuza mijini ni Aibu kwa Nchi yetu na kukimbizana nao siyo kuweza kuwasaidia Serekali inatakiwa kufanya Mpango wa Kazi kukuwepo kwa wingi na hao hao wakujiuza wanapokamatwa Basi na watafutiwe kazi zakufanya na kulipwa mishahara ambayo itawaburuta kutoka huko mauzoni ya miili yao" Hata hapa UK ,wengi hatuna Kazi na Serekali inawasaidia wasio na kazi na wenye funguo za milango ya kazi wapate milango ya kutumia funguo zao" ambazo ni juhudi zao zakufanya kazi na pia kujitegemea.Self-Supporting"
(2)Na naamini hili neno UMOJA sana na nikiliwatandazia lenyewe hapa,ni hivi> Ubunifu ,Maendeleo ,Ongoza,Jamii na Amani" Basi ndugu zangu Watanzania ni hayo tu kwa leo jifunzeni UMOJA" na pia karibuni sana kwenye huu Mkopo Express. Your Feedback is Important to US" We're working hard to give you the best Accessories hasa Handbags from the best Designer and bei powa" na kwa kiurahisi " We'd realy appreciate your feedback and Suggestions: You can also email:flo1974@btinternet.com
WhatsApp +44 7787471024
Welcome/Karibu
 
 
 

9 comments:

 1. What's up colleagues, its wonderful piece of writing about teachingand fully explained, keep it up all the time.
  My site : shop fashion designer

  ReplyDelete
 2. I hаνe read ѕo many агticles οr rеviеws conсernіng the blοgger loverѕ except thiѕ paragгаph iѕ truly a nice
  ρost, keep іt up.
  my page - home based businesses

  ReplyDelete
 3. Pretty section of content. I just stumbled upon your site and in accession capital to assert that I get actually enjoyed account your blog
  posts. Any way I'll be subscribing to your feeds and even I achievement you access consistently rapidly.
  My web blog - duplicateur clés USB

  ReplyDelete
 4. In fаct whеn someone doеѕn't understand then its up to other users that they will help, so here it occurs.
  Here is my web-site : bases btob emails - emailing - bases europeene location et vente a la performance de fichiers emails de particuliers btoc et dentreprises btob

  ReplyDelete
 5. kweli ni wimbo waamsha wabongo mamii..sijawahi ona au sikia ...sasa huu mkopo unapatikanaje ,dha!!..kweli dada flora bahati lyimo unatupenda na kuipenda nchi yako Tanzania...nataka nami kamkopo hata cha mabegi matano nianzie pls"

  ReplyDelete
 6. Mambo Flora Bahati Lyimo"If appropriate,ather initial market research ,your product or service should be evaluatted by your identified customer base on a selective basis.This will enable you to gain FEEDBACK and refine your prouct/service to meet CUSTOMERS requirements.
  I can say I LOVE YOUR HANDBAG'S AND YOUR IDEA OF HELPING OTHERS,HASA WATANZANIA WENZAKO"

  ReplyDelete
 7. Good day House of Flora!!
  How many competitors do you have ? even if your business appears to be unique ,new competitors are likely to enter the market ones you have don the groundwork to raise marketawareness. na vile wabongo tunavyojua kuiga,yani flo utakuja kuniambia kama hutoona na wakina mange wakianzisha mikopo yao ,but worry not ,we all know who start it and who is ceo wa mkopo express of london accessories to tanzania...Mungu akuzidishie moyo safi na miaka mingi uzidi kutupigania ,by theway pole kwa kusikia chadema walikubaka" mbuta nanga" lema hana lolote!!

  ReplyDelete
 8. Wow, that's what I was exploring for, what a material! existing here at this weblog, thanks admin of this site.

  Here is my blog Location de fichiers mails

  ReplyDelete
 9. Hongera coz uko tofauti na wabongo wengine ,wengine hata akaenda south Africa kwa bahati mbaya akakaa wiki tuu huko,ukichat nae tiyari utakuta mbwembwe nyingi az if sio Mtanzania!!

  ReplyDelete