Mwigizaji Lulu akiwa Mahakamani mchana huu.
Hapa akilijiwaza kwani hata akiachiliwa huru leo itakuwaje ? na atakwenda kuanzia wapi au je Umma una nini lakumuambia uso kwa uso licha ya anayoyaona na kuyasikia kwenye vyombo vya habari ? na je kwanini walichukua Muda wote huu mpaka leo ndo waamue kuyatenda yale niliyowaambia tangia hapo mwanzoni ? kweli Mungu ni mwema "

Msanii maarufu wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' amepata dhamana leo baada ya kukidhi masharti yaliyowekwa na mahakama.
Masharti aliyokuwa amepewa ni pamoja na wadhamini wawili wafanyakazi wa serikali wenye kiasi cha sh. millioni 20 kila mmoja na kuwasilisha pasi ya kusafiria ya msanii huyo asitoke nje ya nchi hadi kesi hiyo itakapokamilika.

Upande wa familia ya Lulu umesema masharti yote yaliyotajwa wanaweza kuyatimiza leo leo hivyo wanasubiri tu jibu la msajili ambae ndio anatakiwa kuhakikisha hayo masharti yametimia kisha ruhusa ya kumkabidhi Lulu kwa familia yake itolewe.Taarifa za ndani ni kwamba uwezekano wa Lulu kuachiwa upo kuanzia january 29 2013 ambayo ni kesho kwa sababu kuna watumishi wawili wa serikali ambao wapo kikazi mkoani Pwani na ndio walitakiwa kutia saini dhamana ya Lulu wakiwa ni sehemu ya masharti.
No comments:
Post a Comment