KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 25 January 2013

THE DIARY OF FLORA LYIMO FASHION POLICE HOME HOLIDAY IN TANZANIA 2012/13 " HERE IS WHAT SHE THINK ABOUT SAMAKI SAMAKI BAR & RESTAURANT DAR ES SALAM"

 Flora Lyimo Fashion Police ajiwazia Vijimambo vyake kwa mapozi zaidi" at Samaki Samaki' 

 Mdada Waiter akiifanya kazi yake "
 Hapa Mdada huyu Waiter aonekana akiifungua wine hii kwa uangalifu sana ,ila kwa kweli ilimshinda kufungua ikambidi mwenzie Mwanaume akaja kuifungua " tizama picha za chini"
 Hapa Huyu Mdada alishindwa kufungua chupa hiyo ya wine  ,ikabidi mwenzie aje kuifungua nae kabakia kujitizamia ili baadae ajue vipi kuifungua" siyo kwamba waipeleke kwingine kusiko onekana na mnywaji mteja wa wine "kama vile walivyotaka kufanya pale Nyumbani Lounge" yani pale ni nomaa"
 FLFP WITH HER PRETTY MSHEKUU" NDO HAIKA MWENYEWE HUYOO" KULIA" NILIFURAHI SANA KUMUONA KWA MARA YA KWANZA NA TUPO MARAFIKI IN FB FOR A LONG LONG TIME" ME PENDAJE YEYE SASA!!
 Maisha Marefu Mshekuu" mwah" I wish ingekuwa Mbege ya Uchaggani tukapokezana hapo yani ndo Kuria ria tu"Mbuta Nanga!
 Hii  ndo ilikuwa ni Bili yangu ,yani nilipenda sana wanavyo hudumia wateja hapa yani mpaka nilirudi tena kwa mara ya pili and you know what ,,I cant wait to go back there!!
Samaki Samaki in Dar Es Salam Tanzania is the Best kwa kweli yani sikupata nafasi ya kwenda sehem nyingi ila ambazo nilipelekwa na wenye jiji ndo hii ni baadhi yake na niliipenda sana huduma yao hapa so ikiwa upo Dar Es Salam na unapenda huduma Bora na vyakula vilivyoiva usiache kupatembelea hapa" 
Huduma ya kuridhisha Wateja" 9/10 BY: FLORA LYIMO FASHION POLICE "WhatsApp +44 7787471024  Group " Mkopo Express of London Accessories from House of Flora"  Usikose kurudi hapa kusoma Feedback za huduma nilizoziona kwenye mabaa na marestoranti niliyoenda . Next Feedback is for Nyumbani Lounge" Walitulishaje chakula kibichi "" Ruwa Mangi" 

No comments:

Post a Comment