KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 8 February 2013

FLORA LYIMO FASHION POLICE OF 08/02/2013 MUKE YA MSANII WA FILAMU .KITALE" MBONA MWANAMKE WAKE NYELE KIFUANI ? MBUTA NANGA"

Jamani yani mie nimeangalia mara sijui ngapi nabaki nikishangaa, huyu Bi arusi wetu ni wa Ukwe au ndo wanaigiza igiza kiuchekeshaji chekeshaji ? yani hapo kifuani ni Nyele hizo au ndo urembo umemrembua badala ya yeye kurembuka, Alafu jamani hiyo nguo yenye shingo debe ni yanini haijampendeza kabisa na imekaa kama imepitishiwa uzi tu upesi upesi na kitambaa kichwani cha kufanana"kweli walikuangusha walokushagulia au sijui ndo umejichagulia mwenyewe"Anyway nguo ya shingo debe ziepuke kabisaa"
Alafu hapa ndo siku ya harusi babu ee, ilofungiwa Jijini Dar Es Salam Tanzania" Mjini haswaa"jamani hata kama ni hinna za nini hivyo kifuani unabakia kama Dume (niseme mwanaume)" na walompaka hawajamuona au ndo walikuwa vipofu " jamani zingatieni hili, siyo vipodozi vyote vya kupakwa kila mahali sehemu zingine msipake na pia mkizipaka basi zingatieni Rangi " ni hayo tu kwa leo nawaachieni na nyie Nyota zangu mseme ya kwenu" na kama una picha zingine nyie endeleeni kunitumia japo nipo busy nitajitahidi kuwapeperushieni"
tumeni kwa hii Email: flo1974@btinternet.com

6 comments:

 1. ndo kashaolewa, kwako iko wapi?

  ReplyDelete
 2. Catrina Wa Siena SAY:ukweli amechukiza sana.......kwani alipokuwa anapambwa hakuwa anaijiangalia kwa kioo....yani hakuwa na uamuzi na uso wake na kichwa??jamani kwani wanawake wengine hatujijuliiiiii.......yani kwa sababu ni harusi yangu ndo uje ujifunzie usoni mwangu.......bora angepaka poda ya johnson tu......na si kila style ya weaving unamwona mtu kasukwa na wewe unaiga.....khaa jamani

  ReplyDelete
 3. Violet Gerlad SAY: too much green...eye shadow too much....weaving hilo limeshuka sana...kwakuwa uso wake mdogo.wangemuweka kastyle simple tu...all in all mungu awatangulie.

  ReplyDelete
 4. Zalishy Epi James SAY: salon za uswazi sijui namna hii kuharibiana tu siku yenyewe haijirudii mtu anataka kujifunzia kazi usoni kwa mtu

  ReplyDelete
 5. Nate R. Mallya SAY:HAJAPENDEZA.

  ReplyDelete
 6. Dorah Kylie SAY:Mambo ya make up hayooooo..... Duuuu,mi nahic huyu dada hajawah hta kujipamba uson so ndo maana kaona kapendeza!

  ReplyDelete