KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday 24 February 2013

FLORA LYIMO FASHION POLICE OF 24/02/2013 MATOKEO YA HARUSI YA UBALOZI WA TANZANIA UK ,THIS TIME IS FOR NAIBU BALOZI CHABAKA NA IRENE !!

 Take a look at hivi viatu "Sasa hapa mwaviona VIATU HIVI Eeee,Bi'harusi alihakikisha ana mpaka na Mdada wakutuonyesha viatu vyake vilivyo vizuri na kumkaa ipasavyo " kwa kweli ningekuwa Designer wa Viatu ningekutafutaje Irene uwe my Model " I can say the shoes havijakuvaa UMEVIVA KISAWA SAWA"AND CONGRATS SANA MUKE YA NAIBU BALOZI !!

 Hi Nguo ya Bibi arusi yani nimeipenda hasa mpango wake mzima'wakuhakikisha kiatu kimeonekana,sasa mwaiona hapo chini ya magoti ,sijui ndo imefungwa au ndo mtindo wake ,wakuhakikisha na kiatu kimeonekana" yani utajua ni mtindo mpya in town and thanks God" Viatu vimempendeza yani utadhani vilitengenezewa miguuni mwake"
Hapa mwenye picha hizi ndo keshaanza kuharibu (mwenye picha zenyewe)kwa kuficha rangi za mavaazi yao kwa kuzipaka mafuta ya  Camera meusi meusi"poleni Nyota zangu ,kwani hata picha za waliohudhuria nimeshindwa kuwawekeeni maana hazina rangi zake za ukwe.so huwezi hata kuwaona wale walofika kuchafua 'mbuta nanga"
 Hapa mnaona vile picha zingetakiwa kutoka na rangi zake za ukweli 'yani ilikuwa ndo Dress code ya Green na Yellow" safi sana na wamependezaje sasa ,yani unapofuata Dress Code ya shughulini huwezi kujikuta peke yako au ukiharibu !!
 Sasa hapa ndo penyewe ",MACHO YOTE YA WALIOHUDHURIA HARUSI HII YALIKUWEPO HAPA!! NA UKICHAFUA TU" WATU WOTE WANAKUSEMA WEWE!! 
Hapa pichani ni FAMILIA ZIMEKUTANIKA.Tuanzie kushoto, Dada yake na Bwana Arusi (Mariam Kilumanga) na Mama yake Bi 'Arusi ,Bwana Arusi ,Mrs mwenyewe Irene na Mama yake Bwana Arusi"Sasa hebu tizameni nyie wenyewe hata kabla hamjanisoma maneno yangu hapo chini " mniambie kama Dada mtu alikuwa yupo hapa kwenye Arusi au ndo wamefanya kummegea picha yake hapa' yani kaaribuje picha DADA DRESS CODE YAKO ULISAHAU KUVAA UKIWAVALISHA HAWA KINA MAMA ZAKO Eee Hongera Walipendeza kukushinda na derss code zao"mbuta nanga!!
HONGERENI SANA MR & MRS NA MUNGU AZIDI KUWABARIKI NA NDOA YENU"
Flora Lyimo Fashion Police: 
Haya ndo maneno yakuepuka ikiwa hutaki yakudondokee" Kwenye Harusi hasa pale inapokuwa ni Harusi inayokuhusu yani wewe ni mfamilia wa hizo harusi ,hakikisha umejivaa ipasavyo kama kuna Dress Code wewe bora hata utafute kanga yenye hizo Rangi utakuwa powa sana kwani twahitaji Mapambo kwenye harusi na Dress Code hizo ndo mapambo tosha na pia Kumridhisha Bi Harusi maana usifikirie kwamba Harusi ni ya Bwana " NO" Harusi ni ya Bibi Harusi na hata Rangi yeye ndo huwa anachagua na mambo mengi sana yeye huwa ndo shughuli yake" Sasa basi ,maneno huzuka pale watu wanapokuona wanauliza yule ni nani au pia pale mnaambiwa mpige picha za pamoja,so ni lazima utaenda na kujipanga kupiga picha hizo, na hapo hapo ukiwa kwenye kujipanga kwako ,watu sasa  waalikwa wanaanza kujiuliza mmm..huyu nae ni nani? kavaaje ? au Kapendezaa"  ni Shangazi,Mjomba,Dada,Kaka, Mama,Baba and so on and on" yani watakayo kuwa wanakusema hutoyasikia ila wewe utakazania kusimama kwenye mistari ya watu ilonyooka na kuipindaa...jamani zingatieni hayo ikiwa harusi inakuhusu jua wewe  ndo the Cake ya Harusi hiyo uwe umependeza au hujapendeza" lazima macho yote yatakuwa kwako upende usipende"
 Alafu kwa Bibi Arusi yani kitu kinacho tizamwa sana kwenye harusi siyo hilo uwa lako mkononi mara moja watu huingia kwenye Nguo your wedding Dress" huwa viatu siyo sana you know why ? kwa sababu watu wengi huwa wanaona wanavaa gauni ndefu kwahiyo viatu havijalishi ,kwani havitaonekana,,but DADA yetu hapa Pichani Irene katuzibitishia kwamba Viatu ni Muhim pia tena sana,kwani hutojua Lini camera itavimulika au huwezi jua Lini mmeo atakubeba na viatu hivyo vitakuwa vyaonekana" so ni vizuri kuzingatia Viatu pia" na hasa visikubane au kuwa virefu sana kumbuka unasiku ndefu sana" so hakikisha viatu vinakutosha vizuri kama vya Dada Irene yani vimempendezea kinomaa na pia vyaonekana hata unaweza kusimama navyo na kucheza navyo kwa muda wa wiki nzima bila kupumzika na usichoke wala kuumia miguu" 
Lingine lakuzingatia,jaribu kuvaa mtindo wako mpya your wedding dress au hata ambao watu hawajauvaa au niseme ule upo Common , yani kama mnavyoona maharusi wengi nguo zao zinakuwa hazina mikono (short sleeved) napia ambazo niza one-shoulders, bega moja au hata zilizisizo na mabega kabisa ambazo ndizo zipo COMMON kinomaa,yani mimi nilikuwa nadhani ni lazima ikiwa ni harusi yako uvae hivyo kumbe wapi ,,yani ni pale mtu unamuona mwenzio kapendezea in kitu fulani na wewe unakwenda kukivaa vile vile ukidhani nawewe utapendeza kama yeye,kumbuka wote tuna maumbile tofauti na hatufanani hata ikiwa ni mapacha lazima kila mmoja atakuwa na kashape chake" 
Now tumalize na Mavaazi ya Kwenye Harusi kweli chukulieni hili kuwa la muhim hasa unapokuwa harusi inakuhusu ,hakikisha umevaa tofauti na vile unavyovaa kwenda kanisani au shughuli za kawaida,kumbuka Harusi huja mara moja tu ,na hiyo siku unatakiwa uifurahie na uwe kwenye mistari ilonyooka ,yani hata kama hujavaa ile dress code,basi vaa kiharusi tafuta kauwa chako valia kichwani au kakofia,na nguo iwe ya tofauti na unavyovalia kwenda kanisani" yani UWE SIKU HIYO UMEONEKANA NAWE UPO KIHARUSINI" NA SIYO KIKANISANI AU KINYAMACHOMA'S!! Basi mpaka hapo naishia nikijiandaa kwa the next mishapo na mapicha ya ukwee..NIMEWAAMBIENI UKWELI NA MENGINE NIMEWAACHINI.KAZI KWENU MY DEARS,DRESS GOOD FEEL GOOD" FLFP!!

2 comments:

  1. mbuta nanga" wape wape fashion police wetu tunakuaminiaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! kweli dada mtu kachafuaa"

    ReplyDelete
  2. wala kujakoseya dada flora, kuhusu mavazi huyu dada wa bwana harusi
    kafanya faulu hapa na rangi za harusi huwa zinachaguliwa na watu kutaarifiwa
    mapema, anajulikana huyu kwa wivu na sifa za kupenda kuwaharibiya wenziye

    ReplyDelete