KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 30 July 2013

BY FLORA LYIMO ~ BREAKING NEWS'' T.I.D. WAKISHIRIKIANA NA FLORA LYIMO ' WATOA LAKI 4 KWA ATAKAE MTAJA ALIYEMUIBIA TID TOPBAND JUZI VITU HIVI''

 HAPA FLORA LYIMO NA TID ALIPOKUWA LONDON '' YANI HAKUNA KITU NACHUKIA KAMA WIZI NA UTAPELI WA JASHO LA MTU HIVI HIVI MNAMUIBIA NA KUMTAPELI MWENZENU ''JUENI IPO SIKU MTAOZEA JELA AU MAKABURINI BILA HATA MLIVYO IBA NA KUTAPELI'''RUWA MANGI'' POLE SANA MY DEAR TID'' Hope utapata kumuweka mbaroni ''



ONA SASA MAMBURULA'S
 HI HASARA TUPU ALAFU MIJITI HAIJAENDA HATA BUSHI' IJUE NAMNA YA KUKIVUNJA KIYEE CHA GARI'''
  1. KUTOKA KWA THE MNYAMA MWENYEWE>T.I.D.>Mtu huyu aliyeniibia mimi T.I.D power window na vitu vingine kwenye gari yangu usiku wa kuamkia leo nyumbani kwangu, ntakuwa namjua tu, natoa laki mbili kwa mtu atakeyentajia huyu mwizi ..0652291804 nipigie''

    Na Flora Lyimo naongezea Laki zingine MBILI '' Fanyeni Fasta 'Tulikamate hili lijidudu Mburula liharibifu la maisha na mali ya watu ''tena vya Big Star's kama TID MNYAMA WA UNYAMANI''' MLIOKO BONGO KAZI KWENU''MTAJENI LAKI NNE JUMLA HAPA NI YAKO''' MBUTA NANGA''

1 comment:

  1. Duuuuuhh''nilifikiri mmeungana pamoja kuimba wimbo''mbuta nanga''

    ReplyDelete