KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 13 August 2013

BY :FLORA LYIMO~ NEW ''SELF-PHOTOJOURNALISM THE DIARY OF YOUR FLORA LYIMO FASHION POLICE' HUU NI MSIM WA MATUNDA YA NDEGE ULAYA "

 HAYA YOTE NI MATUNDA YA NDEGE NA SIYO MAUA"HEBU ONENI MATUNDA YANAVYOTAMANISHA KULIWA''NA HAKUNA NDEGE HATA MOJA WAKUYALA'' YANGEKUWA AFRICA SIDHANI KAMA PANGEKOSEKANA NDEGE HATA MOJA HAPA ,YANI WANGEKUWA WANAPIGANIANA HAPA HASWAA''


MNAUKUMBUKA HUU WIMBO"
Msiwe na wasi wasi ,Eti mtakula nini , Mezani kwa Bwana kuna chakula cha uzima..
Tazama ndege wa angani wanavyopendeza, hawana maji wala hawalishwi Baba anajua '
KWA HIYO MSIWE NA WASI WASI ,ETI MTAKULA NINI ,MEZANI KWA BWANA KUNA CHAKULA CHA UZIMA X2'''

1 comment:

  1. mbona matunda fresh mamii,hayaliwi na binadam kweli??

    ReplyDelete