KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 13 August 2013

BY :FLORA LYIMO~ NEW ''SELF-PHOTOJOURNALISM THE DIARY OF YOUR FLORA LYIMO FASHION POLICE' MBUTA NANGA' MSHAWAHI KUCHEKA MPAKA MNAONEKANA CHIZI NJIANI'' SASA ONA HUYU KAKA YUPO LONDON NA ANACHAPA KAZI ZAKE ZA KUUSUKUMA MKOKOTENI WAKE SIJUI NDO UNANINI 'JAMANI 'KUKAA ULAYA SIYO BIG DILIIII KABISA''HAHHAHAHAAA''NATEMA MATE CHINI YASINIKUTEE!!


 HAPA ANASOMA GAZETI AMBALO NI LA BURE JIONI NA ASUBUHI HUTOLEWA NA KUPEWA WATU BUREE IN MJI MKUU LONDON -MTAA WA MAPESA'''

 MBUTA NANGA''MWAONA VIATU VYAKE ''YANI NI NOMAA!! HUYU KAMALIZA GAZETI KALITUPA CHINI SASA ANAENDELEA NA SAFARI''
 HAKUNA MPITA NJIA AMBAE HAKUWA ANAMKODOLEA MACHO KWA KUMSHANGAA"

HUYU  AKIKATIZA MITAA YAKE ,SASA KATOKA KWENYE MTAA WA MAPESA OXFORD STREET LONDON 'KAELEKEA MITAA YAKE ANAYOIJUA MWENYEWE NA SIKUMUONA TENA'' 
YANI KAZI KWELI KWELI HUKU WENZAKE WANADHANIA JAMAA YUPO ULAYA 'ANAKAZI ANA MAISHA MAZURI KINOMA ,KUMBE WAPI MAISHA YAKE MMEYAONA EEEE'RUWA MANGI!!

1 comment:

  1. huyu atakuwa mgonjwa wa akili haiwezekani mtazame vizuri

    ReplyDelete