BEGI HILOO LAUZWA HAPA HAPA NA YOUR BOSS''THE ONE AND ONLY WHO GIVE YOU MKOPO BILA KUHITAJI MAMBO MENGI' FLORA LYIMO DESIGNS &TRADES" WHATSAPP + 44 7787471024 |
WAHI BEG KWA BEI POWA NAWE UBEBE USIBEBEWE'' NA LITAINGIA IN MOSHI ANY DAY''' |
Kazi kweli kweli ,so nimeingia kujionea yaliyopa madukani kwa bei powa'' Ila sinunii Kitu kwani Jamani I have kila kitu kwa sasa hivi kuna vingine navyohitaji vya Muhim mno na siyo kununua Nguo na Viatu mara Mabegi mara sijui nini''' Yani kwa Mara ya kwanza nimekwenda Dukani nikaweka Msimamo wangu na nikaondoka na Msimamo ule ule niliojiahidi''so Weldone Muke ya African Kingi wa Ukwee''
No comments:
Post a Comment