KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday, 10 August 2013

BY:FLORA LYIMO~ LONDON LIFE STYLE KWA WENGINE OMBA OMBA WA ULAYA ON SIKUKUU YA EID 08/08/2013 MTAA WA WAISLAM WATALII IN LONDON "


 WATOTO HAWA NI WAKITALII WAPO NA WAZAZI WAO ''ILA WAO WAKAVUTIWA SANA NA HUYU MBWA NA KUANZA KUONGEA NA MWENYE  MMBWA HAPO NI KIARABU TU''HAKUNA MAELEWANO ..ILA YA DOG YES'' WANAELEWANA SANA TU''


A MAN AND HIS DOG''WHAT A BEST OF FRIEND'' KWELI WAZUNGU NA MMBWA NI BALAA ''HUMGUSI MBWA WAKE ''BORA UMGUSE YEYE'' NA HUYU NI MUINGEREZA HASWAA''MZUNGU WA UKWEE'' MAANA KUNA WALE WANAOSEMA WAMEOLEWA NA WAZUNGU KUMBE NI WAMEOLEWA NA WEUPE''MZUNGU NI MUINGEREZA WENGINE WOTE NI WEUPE TU''MBUTA NANGA" WAKE ZA WAZUNGU MPOO'' NYIE MME OLEWA NA WAZUNGU AU WEUPE''' KAZI KWELI KWELI '' WACHA MAONI YAKO HAPA HAPA'' TUNATAKA KUWASIKIENI WAKE ZA WAZUNGU''

No comments:

Post a Comment