Huyo nae alifika kutafuta pesa ikiwa zimebakia hum,,sasa Mimi nilimshanga maana hizi sim ni mbovu hazitumiki tena siku izi kwasababu ya watu pia kutokuzitumia 'yani Tangu sim za Mikononi ziingie kwa kasi na za kila aina 'hizi call Box zikakwisha habari zake kabisa'' Mimi Mwenyewe sikumbuki mara yangu ya Mwisho kuzitumia lini'' Ila nakumbuka nilipo ingia London kwa Mara ya kwanza in 1994 ndipo hizi sim zilikuwa za tumika sana ''unaweka £20p unaongea kwa dakika moja'' then unaweka £1.00' hiyo inatosha mazungumzo yakusema upo wapi ,unachelewa au ndo unakwenda kuingia underground 'kuchukua Train '' kwa hiyo utafika masaa fulani '' Basi siku izi ukiona Mtu anaingia hapo wengi wao wakiwa Wanaume wanajifanya wanapiga simu kumbe wanapiga simu za hao wanaojiuza na hawapo mbali, wapo Hapa hapa Mijini na wengine unawaaambia upo wapi wao wanakuja kukufuata''ulipo ila mahotelini zaidi 'kwa wale wanaume waliokuja Holiday wenyewe au kikazi zaidi''
Next time nitawatembelea kwenye mitaa yao nakuwaonyesheni wanavyojitangaza'nakumbuka mara ya kwanza nilipokuwa naonyeshwa Jiji la London 1995 nilipitishiwa Mtaa huo nakuambiwa na Mzungu wangu (Muingereza)at the time''kwamba you see that post over there'' saying Models ''is not Models that we think 'Inside are working Girls which are having sex for money 'He say to me''lol'' Then I was like''Ok''and are they allowed to do that ? He say no that is why the poster says Models inside and not saying sex girls or sex workers inside'' hahhaaa'' Yani nilibakia nashangaa'' And I say to Him can we go inside to see them ? Mchagga Mie navyopenda kujua''Mbuta Nanga''Then He say to me No they wont let us in ,Only if I go by myself and Also I must say to them what I want so they know I'm not the Police or the Undercover''who want to find out what they do in there'' Anyway was a long time ago and a long story to tell''
Umeona eee'''ndo hao na namba zao ''mbuta nanga''sasa hapa hawa wanakuja kubandika matangazo haya hapa hawaruhusiwi na wakikamatwa na Police wana sheria inayowakabili''basi wao huja na kuyaweka upesi upesi kama mwizi vile''nakuondoka fasta fasta ''na wakikuta pamejaa''wao hubandua ya wenzao na kuyatupa chini na kuweka yakwao fasta fasta maana wanalipwa na wenye hayo matangazo''hahhaaa mimi huwa nawaangalia kama movie vile''
MMEONA MATANGAZO YAO Eeee,,ESCORT KWA SANA'' UKIPIGA MOJA YA SIM HIZO KWENYE HIVYO VIPOSTA VYAO NDO UNAAMBIWA KILA KITU APO''YANI NI NOMAA KWA KWELI''HII BIASHARA YAKUJIUZA WAMEJARIBU KUIKATAZA UK -LONDON WAKINI WAPI'' TENA NDO WANAKUJA NA STYLE ZAO MPYA''KAMA HIZI NA UKIBANDUA WANABANDIKA NA WEWE NYUMA YAKO''UNAPOPANDA GARI NAO WANAINGIA KUPANDIKA''POLICE NA WAFANYAKAZI WA HAWA WENYE KUBANDIKA MATANGAZO HAYA'' ILA WAKINIPA MIMI HIYO KAZI YAKUWANASA''MBONA KAZI RAHISI TU''NITAWANASAJE SASA''CHEZEA FLFP''AKUACHE KWENYE MATAA''MBUTA NANGA!!
Yani nakumbuka kuna siku niliweka hum £1'00' yangu na ikazama bila mawasiliano na sikuirudishiwa kwa kweli hizi simu zilikuwa ni za wizi sana kwa wenyewe kwani ulikuwa ukiweka pound moja na hujamaliza mawasiliano yako ya £60Pence zilizobakia ,basi hakuna change unayorudishiwa''unabakia ukiligonga gonga na kulitingisha tingisha lakini wapi''
HABARI NDO HIYO ''JE WEWE KAMA UPO UK -HASA LONDON 'UNAKUMBUKA MARA YAKO YA MWISHO KUTUMIA HIZI SIM ZA CALL- BOX . TELEPHONE BOX(BRIT) AMBAZO HUWA KANDO KANDO YA BARABARA 'MITAANI KWA AJILI YA SIM ZA DHARURA'' ILA NDO HIVYO TENA SIMU ZA MIKONONI NDO ZILI TAKE OVER'''NA KUZIUWA KABISAA''
ANYWAY ~WACHA MAONI YAKO HAPA HAPA .TUNATAKA KUSIKIA YAKO NA IKIWA HUJATUFUATA DO IT NOW'' FOLLOW THIS BLOG"
USIJEUKAPITWA NA MAUKWEE YA YOUR FLORA LYIMO FASHION POLICE''
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HUO NDIO MPANGO MZIMA UNAINGIA CALL BOX MNAMALIZANA UNAPANDA BUS UNAENDA KUKANDAMIZA UKITOKA MWEPESI HATA £50 HUMALIZI. MPK UITE HAO WA ESCORT SAA NGAPI NYEGE ZIMEISHA..LOL..KUDADADEKI
ReplyDeleteHhahahhaa Flora Lyimo your the most INSPIRED TANZANIA LADY in London''Yani unavyotustukia kwa habari moto moto za maukwee hapa kwa hii blog yako ni nomaa,siachagi kuingia hum hata siku moja 'na hii ya leo naona wanaume wengi watapewa talaka.mbuta nanga.... hizo namba za sim ni majangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa''wacha na mimi nijaribu bahati yangu''
ReplyDeletemdau hata mimi, mwanzoni alikuwa ananiboa flani kujisifia sifia, badaye nikamzoea basi nachekaga mwenyewe tu...nilishamshukia mdau mmoja kakoment eti Flora mshamba kisa kapost picha za watu mitaani, kwenye bar , nilimandi kinoma nikasema ye ndo mshamba. blog yake Flora ana uhuru kuweka chochote. now i like this blog vibaya sana. BIG UP MAMAA WA MBUT NANGA..hahahahahahaha
Delete