KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 5 September 2013

BY:FLORA LYIMO ~ALBUM (1) MBUTA NANGA!! HUKU NI KUJIDALILISHA AU KUJIAMINISHA ? YOUR FLORA LYIMO FASHION POLICE AKULETEA WALIOCHAFUA UZINDUZINI MWA FOOLISH AGE 'FILAMU MPYA YA LULU ELIZABETH MICHAEL 2013 IN TANZANIA!!


FLORA LYIMO MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO '' 
NDUGU ZANGU WATANZANIA NATUMAINI HAMJAMBO POPOTE PALE MLIPO''

Leo nimeona niwaleteeni Mmoja baada ya Mmoja  wale waliokwenda kuchafua kwenye Shughuli ya Uzinduzi wa Foolish Age '' ambayo ni Filamu mpya ya Lulu ''Elizabeth Michael'' Sasa naamini wengi mtakuwa mshaona Picha hizi mitandaoni zikijielezea zenyewe'' na sasa zimefika pahala pake pakuzichambua vizuri na kutaka' WAVAAJI HAWA KUJIREKEBISHA NA PIA WENGINE KUJIFUNZA WASIJEJIKUTA HAPA WAKICHAMBULIWA NA YOUR FLORA LYIMO FASHION POLICE'''''
SAY MBEGEEEEEEEEE''' HAHHAHAHHAAA>>>SASA HAPA HEBU MUONENI HUYO DADA ANAVYOJIAMINISHIA MWENYEWE'' YANI HAPA NDO KUMTAKA MPENZI/MME WA MTU NA NGUVU HASWAAA''NA SIDHANI KAMA SIKU IZI KUNA WANAUME WAKITANZANIA WANAOTONGOZEKA KWA STYLE HII''HATA PAMOJA NA KUKUWEPO KWENYE MKEKA MWEKUNDU NA UZINDUZINI WA FILAMU YA NGUVU''MBUTA NANGA!!
YANI BADO NASHANGAA'' KWA MAPOZI YAKO HAYO YOTE ULITAKA KUINGIA KWENYE HIYO FILAMU UKITUZINDULIA MACHANGUDOA STYLE AU? NAULIZA JAMANI MAANA SIJAELEWA KWANINI KUVAA HIVI NA HUKO SIJII NI MIZIZI AU MICHIRIZI HIYO YAONEKANA MIGUUNI KWENYE MAPAJANI ? BASI USHAJUA UNAKASORO FULANI MAHALI NA NGUO ZIEPUKE PIA''KWANI ZIPO NGUO NYINGI AMBAZO ZISINGEKUACHA OVYO OVYO HIVI''' NA TENA INAONYESHA ULIKUSUHUDIA''YANI CAMERA HAZISEMI UONGO KABISA'' NEXT TIME DADA YANGU JUA UNAVAA NINI KWENYEWE MAKUBWA NA TENA YAKUTOA MAJASHO HASWAA'' I WISH INGEKUWA NDEFU MPAKA CHINI KABISA HATA USIVAE CHUPI KABISA ''' MBUTA NANGA''HAPO UNGETOKAJE SASA''NA MME /MPENZI WA MTU ANGEKUFUATA AKIJUA ANAFUATA ASALI NA SIYO LIWAPESA'' ANYWAY IS TO AVOID KWANI HUKU NI KUJIDALILISHA SIYO KUJIAMINISHA'' NOW HAVE YOUR SAY ''NYOTA ZANGU''MPOOOO!!

No comments:

Post a Comment