FLORA LYIMO DESIGNS&TRADES SHOW TIME''MBUTA NANGA'' JAMANI THIS IS MY OWN WORK'' NA NIMETENGENEZEA HAPA HAPA NYUMBANI '' UKITAKA NIJULISHE PIA NAWEZA KUKUTENGENEZEA YA RANGI ZAKO UZIPENDAZO WEWE MWENYEWE''
MWAONA EEeeEE''KILA KITU HAPA KINAUZWA'' VIATU ,NGUO ,HERENI ,NYWELE NA TANZANIAN FLAG IN WOOL FRAME''IM SO PROUD OF MY TANZANIA''
FLORA LYIMO DESIGNS&TRADES'' ALSO FOR MKOPO EXPRESS OF LONDON ACCESSORIES''
MWAONA MITINDO YA FLORA LYIMO ''YANI NIMEFURAHI SANA FUNDI WANGU MPYA ANACHAPA KAZI NIPENDAVYO MIMI'' I LOVE IT'' AND YOU MY TANZANIANS LAZIMA NIKAE CHINI NA KAMA 50 MAFUNDI WA UKWEE NA KUFUNDISHA NINI SIRI ILIYOPO KWENYE MITINDO YA WALE WENZETU WALIOPO MATAWI YA JUU IN DESIGNS ZAIDI'' YANI I CANT WAIT TO DO WHAT IS IN MY MIND WITH MY NDUGU ZANGU WATANZANIA'' PAMOJA WE CAN ''ALL WE HAVE TO DO IS ''KNOW HOW TO LOVE AND NOT TO HATE''
VYOTE VYAUZWA YANI UKIONA CHOCHOTE HAPA UMEKIPENDA USISITE KUWASILIANA NA FLORA LYIMO WHATSAPP +44 7787471024''
SAY WHATTTTTTTTTTTTTT'''FAB'''HAHHAHAHAA''I LOVE ME AND MY WORK BILA KUSAHAU WATANZANIA WOTE WANAONIKUBALI''I LOVE NYIE NA BILA NYIE NISINGEWEZA KUYAFANYA HAYA YOTE TANGU MWEZI WA TANO MWAKA HUU''UMLIPO NIPOROMOSHEA MIMATUSI ILE ILE YA TAMANI KILA UPANDE''YESU WANGU ''HIVI MNASEMAJE MNAVYONIONA NAZIDI KUWAENDESHA MBIO NA KUZIDI KUPENDEZA NA MVUTO HATAREEEEEEEE''MBUTA NANGA'''LAZIMA HATERS MTAKUFA WOTE''MAANA MAMBO YA FLORA LYIMO BADOOOOO'''
HAPPY NYERERE WEEK MY TANZANIAN POPOTE PALE MLIPO''BE PROUD OF OUR BABA WA TAIFA NA JIVUNIE MAMBO YAKO UNAYOYAFANYA TANGU UZALIWE NA HAYO YOTE JUA KAMA SIYO YEYE TUSINGE WEZA KUYAFANYA''MIMI KAMA FLORA LYIMO NI MJUKUU WA NYERERE KIUTANZANIA '' NA NAJIVUNIA SANA MAMBO NILIYOZALIWA NA KUYAKUTA CHA KWANZA KABISA QUEEN CCM'' YANI HADI NIMEAMUA KUITA CCM OUR TANZANIA QUEEN'' I LOVE NCHI YANGU TANZANIA SO MUCH '' NA TANZANIA HAIHITAJI CHANGES ONLY NEED IMPROVEMENTS''
NAWEWE USIOGOPE KUONYESHA MAMBO YAKO UNAYOYAFANYA LEO ''NITUMIE HAPA NA NITAHAKIKISHA NIMEKUPOSTIA HAPA''LETS BE PROUD PAMOJA'
kite owarumu uleluaiba kuro wewe ni mchaga wawapi mjinga ivi sijawai ona kabisa wachaga hatuko ivyo mpendwa ujiache uchi ivyo sikatai unarangi nzuri lakin jieshimu lyimo yakwi iyore wasuko yan nilikuwa nakuona wamaana kumbe bure kabisa iyo satana owarumu
ReplyDeletewatu wanakusema vibaya sana sana alafu hayo malipstik unapata utafikiri jina maimuna achana nayo kabisa hayakupendezi na hayo mavitenge yako ya kijan vaa vitenge vyenye rangi zilizo tulia utapendeza sana
ReplyDeleteHHAHAHHAHAHAHAAA,,Anonymous....10:51 'Umenichekesha kweli ,,mpumbavu hata KICHAGGA HUJUI UNAJIFANYA KUNITUKANA KWA KICHAGGA,,,hahhahaa,,NJOO CLASS NITAKUFUNDISHA ALAFU SHUKRANI YAKE UNITUKANE..MBONA NISHAZOEA..!!! Yani tena ndiyo mnanizidishia BARAKA KWA MWENYEZI MUNGU ''MAANA WANAOPENDA BIDHAA ZANGU WANAZIPENDE TENA KWA RANGI HIZI HIZI NA NDIYO MAANA MNAONA NAWAENGEZEENI RANGI ZAO ..GREEN AND BRIGHT COLOUR'S ARE THE WANTED IN FLORA LYIMO DESIGNS&TRADES'' SO WEWE ULIE TU NA UTUKANE SANA MIMI NAHESABU MAHELA NA NASONGA MBELE NIKIFANYA YANGU.............STAY BLESS NA USISAHAU KUJA CLASS NIKUFUNZE KICHAGGA...RUWA AIKA MBEE,,,KYINDOKYAKOMBE!!!
ReplyDeleteMBONA ZA LEO HAZINOGI KAMA ZA NYUMA
ReplyDelete