KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 20 October 2013

BY:FLORA LYIMO~ MPORA BIG FAN WA FLORA LYIMO FASHION POLICE 'AFUATA NYAYO ZA TOP IN TOWN a.k.a.DA'FLORA IN HOW TO LOOK SEXY AT HOME'' SO SEXY 'MBUTA NANGA!!

                   Flora Lyimo Fashion Police Big Fan'' 
Yani yeye hajakubaliana na wale Big hates baadhi ya Watazania ambao hivi sasa wamevimba vidole kwa kuandika matusi on Flora Lyimo Sexy Photos tangu tarehe 19/9/2013 'Na wamevimba vidole baada ya Flora Lyimo kuwazidishia Dose za HOT SEXY PHOTOS KAMA ZILE ZILE ZA KWANZA ZILIZOWAPA UGONJWA WA MOYO'' MBUTA NANGA''
Anyway ''the point is don't be the one to HATE BE THE ONE TO LOVE'' Love yourself first then others'' HASA MWILI WAKO'Na usiogope kabisa kufanya yako ''Wala usiogope kabisa maneno ya wakosaji na waja''kila siku lazima waja waje na maneno yao ya kukosa''siyo bure wanakutukana na kukusemea maneno mambaya 'ni kwasababu umewazidi''unacho ambacho hawana'' hilo liweke akilini kabisa'na kama na wao wanajiona ndiyo wenye miili inayo faa mbona wasiweke zao kama  sisi tunaojiamini na kutoa picha zetu kwa raha zetu tena kwa kila mtu kuona '' yani you haters you are just going to die all of you 'if your not stoping it now''maana this is it'' is just going to be more sexy photos everywhere'' jiandaeni hizi ni vionjo tu'' Ruwa Mangi'' hata Mungu alipowaumba Adam na Eva 'hawakuwa na nguo'' so jiulize tena'Uchi ni Upi ?? maana hamjui maana ya Uchi kabisa''
KWA WALE MNAO MTUKANA FLORA LYIMO ETI ANA MIGUU MEMBAMBA MIBAYA NA SIYO YA KUVALIA NGUO FUPI''
Kwanza kabisa nani alikuambia hapa Duniani kuna Miguu mwembamba ,mibaya na isiyo yakuvalia nguo fupi''? Nothingi like that even in the Fashion Police 'Sisi wenyewe hatumsemei mtu kwa ukilema wake alonao,and thanks God mimi siyo Kilema na hiyo Miguu yangu membamba naipenda kupita maelezo na naijivunia kwa mana kuna wengi ambao wapo kwenye wheelchair na wana miguu kama hiyo ya kwako unayoona mizuri (HATER) Lakini hawawezi hata kusimama na kuzubutu kujipiga picha hata ya kwao wenyewe kuitizama..you need to give them Hope and make them think that is nothing wrong with them,and they should be proud of that maana kuna wengi wanakufa bila hata kupewa hiyo nafasi yakukuwepo kwenye hizo wheelchair 'God is Great all the time''so be Proud of who you are today and love what you have ' mwisho wa siku kumbuka maisha ni mafupi na kuna kifo na kikikujia hakikupigii hodi wala kukusubiria ukamuombe Flora Lyimo msamaha'' Yani Mimi naona Only haters can say that'' kwamba NINA MIGUU MEMBAMBA KWA HIYO NISIVAE NGUO FUPI' au picha zangu ni za uchi ''I dont see any Uchi in them and im so happy with them''GET IT HATERS' Na sana sana mimi nikimtoa mtu au watu in my Blog'Flora Lyimo Fashion Police' ni kwa pale wamekwenda kuchafua shughuli za watu'' Harusini kwa sana na shughuli zingine muhim kwa mavaazi yao na siyo kwa sababu ya unene wao ,rangi zao au niseme kwa ujumla maumbile yao '' it is so sad to think that you are the one with the best legs in the world and others they have the bad one ever'' you are just a big hater in the world ''hebu tembea na kibao please''kilichoandikwa hivyo au tukuandike hapo usoni kwako kabisa..YOU ARE THE BIG HATER IN THE WORLD'' MBURULA ULOISHIWA KISUMUNI SI UJE TUKUPE MKOPO EXPRESS ''UPATE KAZI YAKUFANYA '' RUWA MANGI'
Yani wapenzi wangu msikubali kabisa mtu awaambieni kwamba mna miguu mibaya ,au mnasura mbaya ,au mmezeeka ,au mmenenepa yani anything ambacho nikinyume na Sheria za UBINADAM'' Tena wanachokusemea kwamba wewe huwezi au unaubaya nacho 'ndicho uwafanyie kila siku ukiweza 'yani hata kama ni njia wafungie na hicho kitu ''yani kitawauwa polepoleeeeeeeeeee''Habari ndiyo hiyoo''dont hate just love and you will be loved'' Flora Lyimo '' na kama una picha zako za how to look sexy at home'tuma kwa flo1974@btinternet.com

No comments:

Post a Comment