KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday, 12 October 2013

BY:FLORA LYIMO ~ WALICHEKESHA HADI RAHA KWENYE HARUSI YA ISMAL MIDEGO AND AYDA BUNU''AND MZEE YUSUF AWASINDIKIZA''KINYIMBO ZAIDI''MBUTA NANGA!!

 HAPA WALIOMBA ''SIUNAJUA NI JAMBO LA KUMSHUKURU MUNGU SANA UNAPO PANGA SHUGHULI ZAKO NA ZIKAFANYIKA ULIVYOPANGA'' BLESS NYIE ALWAYS MY DEARS'''
 HAHHAHAHAHAAA''YANI MPAKA MWENYEWE NA CHEKA HADI NIMEKOHOWAA''YANI UNAJUA MAISHA NI MAFUPI NA SHEREHENI NI KUFURAHIII'' SAFI SANA NDUGU ZETU'' HAYA DOGO LETU ENDELEA KUTURUSHIA MAPICHA''ANGALAU ZA WALIOFURAHISHA KWA VICHEKO VYAO KWENYE HARUSI HII'' ASANTEEEEEEEEEEEEEE''' ALAFU HAO AMBAO HAWAJAVAA HIZO KANZU KIARUSINI KAMA WENGINE HAPA WALIVYO VAA,MSI WA MIND''WAO HAWAJAALIKWA WALIKUWA WAPITA NJIA NA SHUGHULI ZAO NA KUKUTANA NA HII ARUSI KIBAHATI NZURI''INGEKUWA BAHATI MBAYA SURA ZAO WASINGEPENDA ZINASWE NA ANY CAMERA KABISA'' MNAFANYA MAKUSUDI,MLIFANYA MAKUSUDI Eeeee'''MBUTA NANGA'''
HAHAHAAAAA,I LOVE HUU WIMBO WACHENI MSINDIKIZWE NA MZEE YUSUF HAPA,,YANI PANAPONIHUSU PATAMUJE''ENJOY ''ALAMBA ,ALAMBA TENAAAAAAAAAAAAAAA''' 
HAHAHHAHAHHAAAA''DOGO LETU HAPO ENDELEE KUWAPA TAARAIFU DEAR'' HAHHAAA'YANI HAPA NDIYO USIPIME''WATU WEEEEEEEEEE''YANI IN MY MIND NI HUU WIMBO WA MZEE YUSUF UMENIJIA GALFA'' CHECK HUYO KAKA HAPO KATIKATI NYUMA YA MAHARUSI''HAHAHHAHHAAAA''MPENI TANO KWA KICHEKESHO JAMANI''I LOVE IT'' MY WIII aka MAMA MAPACHA MUKE YA MATONDA NAE HAKUBAKIA NYUMA BILA KICHEKO CHAKE''HOW LOVELY ''MAISHA NI KUFURAHI ETI EEE''   HEBU TUAMBIENI MLICHOKUWA MNAKICHEKA APA JAMANI ..MAANA OUR WIFI MPORA WETU MPYA HAPO 'AMEJITAHIDI SANA ASINASWE AKICHEKA..MIMI NDIYO MBAVU NISINGEKUWA NAZO HASWAAA''MAANA KUCHEKA KWANGU NI KAWAIDA KUNUNA SIWEZAGI NA SIYO KAWAIDA YANGU KUNUNA'' ANYWAY '' LET ME GO AND BRING YOU MAARUSI NA WALOFANYA KWELI'' FOLLOW THIS BLOG AND BE BACK''

1 comment:

  1. hahahahhahaaa,Florah hujatulia kabisa,,ila yes nimecheka sana hata mimi''yani raha sana kuona kina kaskucha wakiwajibika kwa vicheko.....Midego oyeeeeeee'' alamba alamba..kumbe mzee yusuf ndiyo kaimba huu wimbo''thanks for taafariza zako Florah and I love ur blog na picha zako za uchi''mbuta nanga''

    ReplyDelete