KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 3 November 2013

BY:FLORA LYIMO ~PRIVATE MAONYESHO NA MAUZAJI YA FL DESIGNS&TRADES IN LONDON 2013 KITANZANIA FLAG ZAIDI!


 FLORA LYIMO IN HER MTOKO WA MAONYESHO YA BAADHI YA HOT DESIGNS ZAKE'' HUKU MEZA YAKE IKIWA NA VITU VYA MUHIM KWA MFANYA BIASHARA YOYOTE MWENYEKUJUA AKIFANYACHO ' YANI SANA SANA BAADA YA KAZI NI KUJIBURUDISHA KWA MOJA MOTO MOJA BARIDI''MBUTA NANGA!!
 NATAKA KULEWA LEO 'NATAKA KULEWA LEO 'USINITAKE NITENDE DHAMBII''HAHHAA''
 MAPOZI .FLDESIGNS&TRADES''
 KWA LEO NA VYA MUHIM 'HAPA NI KUTENGENEZA PESA KUPITIA FLORA LYIMO HAND-MADE 'YANI DESIGNS&TRADES ZA FLORA LYIMO NIZAKUMULIKA HASWAA''
 HAHHAHAAA.IM SO HAPPY AND SO BLESSED''BUSINESS CARD ZANGU ZIMEDONDOKAA NA TIYARI KUPEPERUKIA POPOTE PALE DUNIANI''RUWA MANGI AIKA MBEE!!

 MAANDALIZI YA KIENDELEA''YANI KWA KWELI NIMEJIAMINI I CAN ''YES I CAN DESIGNS NA NAJIAMINI HATAREEEEEEEE''

 MR TOP EUROPE BUSINESS MAN''AKITIZAMA BIDHAA MBALI MBALI ZIKIWEMA ZA FLORA LYIMO 'THE PROUD TANZANIAN CHAGGA FROM MOSHI KILIMANJARO IN LONDON'' KAZIPENDA KAZINUNUA ZOTE 8 NA KAODA ZINGINE ''IDADI NI SIRI YANGUUU''MBUTA NANGA!!

 HE WAS SAYING KWAMBA YEYE RANGI YAKE ALIYOIPENDA HAPO ZAIDI NI BLUE''BUT WENZAKE WAKACHEKA NA KUSEMA BLUE IS THE BOYS RANGI 'KWA HIYO NI KAWAIDA HATUONI AJABU ''SO AKARUDI KUSEMA AND BLACK IS MY FAVOURITE''HAHAAHHAA''CHEZEA RANGI ZA BENDERA YA TANZANIA YANGU WEWEE''
THE BEST PLACE KWA MISOSI BWANA''YANI  NI KUJILAMBA KWA KWENDA MBELE''UKIMALIZA UNATAMANIJE UWE NA TUMBO MBILI''MBUTA NANGA!!

2 comments:

  1. Good JOB Flora Lyimo ,Mungu azidi kukubariki...

    ReplyDelete
  2. flora haya mabegi kama ulilobeba bado unayo ..i want mamiii''

    ReplyDelete