KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 8 November 2013

BY:FLORA LYIMO ~ HOW TO LOOK SEXY AT HOME ON HALLOWEEN DAY 'BY:FLORA LYIMO ' ALBUM (1) HOTTEST EVER!!





 HABARI NDIYO HIYOO''NISHAMPENDA YEYE''ASHANIPENDA MIMI'' TUACHENI TUFANYE YETU NA NYINYI FANYENI YENU ''MKIYAFUATILIA YA FLORA LYIMO ,VIDOLE VITAWAVIMBA'' MBUTA NANGA!!

 VUA TUPA KULE EEE...MBUTA NANGA!!






 HAPANA CHEZEAAAAAAAAAAAAAAAAA''




HAPO KWAKEEEEEEEEEEEEEEEE'''YANI SITAKI KUJITAMANISHAAAA'MBUTA NANGA''








MBUTA NANGA!!!HAHHAHHAAAA' FLORA LYIMO NA VIMIGUU VYAKE WACHACHE WENU MLADAI SIYO MIZURI 'NDIYO HIYOOO TENA MNAVYOZIDI KUTUKANA NDIPO NITAKAPO ZIDI KUWAONGEZEA MAUTAMUUU'' YANI NACHEKAAAAA'UWIII JAMANI NARAHAAA MIEEE''SIYO MCHEZO JAMANI ''MAISHA NI KUYAFURAHI YAKIWA YAMENAWIRI KULIKO MCHICHA WA PAROKEANI ''MAANA NI LAZIMA IPO SIKU UTASINYAA ''NA USIJEJIKUTA UKIJUTIA'' ENJOY YOUR LIFE PEOPLE''






 ANGALIA CAMERA ILIVYO NA WIVU WAJAMENIIII''


FLORA LYIMO >SEXY NI KITU CHA KUJIFANYIA NA UKIFANYIWA NA MPENZI WAKO JUA NI TOP UP ,MAANA MWANAMME WAKO HUYO ANAPOKUNUNULIA  NGUO 'HUWA ANAKUTEGEMEA UMVALIE NA SIYO UENDE KUWAVALIA WANAUME WENGINE HUKO NNJE AU KWENYE  MA'PARTY UTAKAYO KWENDA'' SASA JIREKEBISHENI NA KUJIWEKA KI'SEXY LOOK PIA WAPENZI WENU WAAMBIENI KWAMBA MWATAKA NGUO ZA NDANI ZAIDI 'SEXY CHUPI KWA SANA 'KWANI HIZO HUWEZI KUTOKA NAZO NA KUZIVAA HIVI BILA KITU KINGINE CHOCHOTE'' MIMI KAMA FLORA LYIMO NINGEPENDELEA MWANAMME WANGU MY AFRICAN KING MTARAJIWA AWE ANANINUNULIA NGUO ZA NDANI ZAIDI ''MAANA HIZO NITAKUWA NA MVALIA KAMA HAPA KWA AJILI YETU SISI WAWILI'YANI TUNAKUWA NA DUNIA YETU 'HATUSIKII WALA HATUAMBIWI'' TUENDELEE''NIWANGAPI MLIJIVALIA SEXY VIJIMAVAAZI FOR HALLOWEEN 2013 ? SEND ME YOUR PHOTOS AT flo1974@btinternet.com  AU TUMA FACEBOOK PAGE' NOW ENJOY NA USIKOSE KURUDI HAPA FOR MAPOCHOPOCHO ZAIDI'' 
FOLLOW THIS BLOG!!

4 comments:

  1. HAHAHAHHAAAAAA.HAWAKUWEZI MAMA WAKICHAGGA FASHION POLICE WA UKWEREEEEEEEEEEEE....kwani wali lazimishwa kwenda kuchafua harusi za watu...

    ReplyDelete
  2. mimi nakupenda flora you look sexy hatareeeeeeeeeee...mwingine atokee wapi sasa...

    ReplyDelete
  3. Fanya yak bwana wewe ndiyo Mtanzania harisi alafu inakuja mchagga harisi, wala umuigi mtu unajifanyia yako sasa ataka taka aige. manake watu wamezoea kuiga, fanya vile unavyopendezwa. hapo sasa toto la kitanzania kichagga, ule ucgaggani mbuta nanga, si unaona na bendela zake mwenyewe

    ReplyDelete
  4. Nakupenda flora, wala huna mpango na yeyote, wala sio wale waigaji wewe uko na yako na biashra zako na matangazo yako poa, huibi cha mtu ni kazi ya mikono yako na matangazo yako, biashara matangazo bwana, ndani ya fasion police blog

    ReplyDelete