KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 17 November 2013

BY:FLORA LYIMO~YANAYOENDELEA KULE LAGOS-NAIGERIA '' DIAMOND AHUDHURIA ARUSI YA PETER WA PSQUARE '' NA WAMEWAKAAAJEE!!

 Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond'' Flora Lyimo :Say>> cant wait''

Emanuel Adebayo & Diamond


Diamond (Left )& Iyanya Yani watu wamewaka haswaa' Diamond na Gold zake watamkomaje''

TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA DJCHOKABLOG'

No comments:

Post a Comment