KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 11 February 2014

BY FLORA LYIMO : SOMA KITABU MZIMA NA PICHA ZA MZEE YUSUFU AKIMNYANG'ANYA FLORA LYIMO CAMERA YAKE''

 Hapa akiwa juu on stage ambapo ndipo angekuwa anatakikana kukuwepo all the time kuepuka Fujo za wasichana kwa wanaume waliokuwa wanapigania kumkalia mapajani wamkatie mauno'' Mbuta Nanga!!
 Hii Camera yangu pamoja na kuwa muimbaji wa Tarabu huwezi kuinunua ungeivunja au kudhubutu kuipokea nilipokupa uivunje kama ulivyodai 'leo ugejikuta usipo saa hivi Mzee Yusuf aka Selfish Market Dog''Ungedhubutuuu'''
 Huyo nae ndiyo mmoja wapo wa waliokuwa wanapigania kumkalia Mzee Yusefu mapajani wamkatikie sijui mauno ya aina gani ? Jamani ningependa sana kuona wakimkatikia ila sababu ya fujo zao waliharibu wenyewe''ndipo Mzee Yusefu zikampanda na kumpandishi Flora Lyimo kumfuata na kudai afute Picha zake zote''Nyoooo''sasa hizi hapa sijui utasaga chupa unywe au vipi 'maana huna jipya la kuniambia wala lakutuambia Mzee''
SASA HAPA NDIYO BALAA LILIENDELEA BAADA YA MZEE YUSUF KUSHINDWA KUVUMILIA MAUNO YA HAWA BAADHI YA WALIONASIKA NA CAMERA YA FLORA LYIMO HAPA''Mwakiona hicho kiti hapo ''
HABARI INAANZA HIVI''
Baada ya Mzee Yusuf kuingia Stegini kama saa nane na nusu hivi '' Alianza kuimba Nyimbo zake ambazo yani unasikia kulala badala yakujisikia kujirusha uwanjani na kumwaga radhi'' So Mimi na Rafiki zangu tulitokea Slough ambapo nilialikwa Dinner huko na baadae turudi London kwenye makamuzi yake Mzee Yusufu '' Basi tukafika tukakaa tukimsubiri ''Akaingia na Show ikanza 'tumejikalia twasubiria apige Nyimbo zake za kushangamsha vile,lakini wapi ,but watu bado wanaham yakumuona na pia kuzicheza zile nyimbo zake boring huku wakisubiria zingine za kumwaga radhi ,ndipo nami nikaona niende kumpiga Picha na pia kupata yanayoendelea niweze kuonyesha Walimwengu hasa Wa Tanzania wenzengu ambao hawakuja kama kawa yao hawana hela au wanamjua Mzee hana Jipya na pia kule Nyumbani kuona how was the show''siunajua hapo bila picha au video itakuwa kama hata hajaja kabisa ? Anyway baadae Kidogo ndipo nikarudi kwenye meza yetu na kukaa nikiwa sina raha kabisa kwani nyimbo zake was boring na watu wenyewe hamna wengi wachache na hata hawana habari na show wapo wapo tu hata kuvaa walivaa ovyo kama sijui walitokea kitandani na kuja hivyo hivyo na wengine na mavaazi yao ya kumaliza kazi nakuja bila hata kubadilisha nguo za kitaarabu au ki night oou''mara kukatokea vurugu wadada wanakimbia kwani kulikuwa na wakaka walianza kupigana ''fujo kwa kwenda mbele'but walinzi walifika bila kuchelewa na kunyamazisha watu na show ikawa ina endelea'
Nikamsikia akipiga wimbo wake mmoja amabo ulikuwa afadhali hata watu walikimbilia kwenye stage kuucheza'nikaenda na kupanda kwenye stage ili nipate kupiga picha vizuri '' na huku pia Aliekuwa na camera yangu nyingine akinipiga nikicheza nae kidogo ,siunajua namimi navyopenda Taarabu na pia kumpa support on stage kidogo '' maana pale kupanda lazima uwe umejiamini na Mimi najiamini kweli kweli '' na ndiyo maana Mimi kwa mtizamo wangu Wasanii wasingeshuka chini na kuchezea chini ili kuepuka watu kuwapigania na kuwakosesha amani na pia muda wakuimba na kucheza ipasavyo '' yani wanatakiwa waimbie hapo juu kwenye stage tu''
                                      Kutaka kuninyang'anya camera''
Baada ya muda kidogo Mzee Yusuf alichuka stejini na kutangaza kwamba kiti kiwekwe katika hapo chini unapokiona hicho kiti na kusema kwamba atapiga wimbo mmoja na atawachagua kina dada mmoja baada ya mmoja yeye mweneywe wakumkatikia '' na anaomba watu wasipige picha na sim wala na camera''Basi na hat amimi nikiwa kama mwenyewe Camera ya Ukweli mle ndani siku hii'nilimuelewa na nikawa na subiria kwa ham kuona atakachofanya huku camera yangu ikiwa tiyari kwa lolote,kwani hiyo camera yangu naweza kukupiga picha na usijue kabisa'' and Yes I did'' nilimpiga Picha kadhaa na baadae nikaenda kubadilisha mkanda'' kurudi Fujo zikazidi Mzee Yusufu alipo kalia hicho kiti 'kuna kasichana kadogo sijui kwa maumbili yake tu au vipi maana kalikuwa kanakaa mambo kanayajua ila kachafu chafu na kasichana ambachounakionea huruma kwani hata stagini siyo bure vijana wanaweza kumuingiza na vidole na kisijiweze kabisa'' hata Mzee alikashindwa na kukitupilia mbali kwani vijana wengine ambao sijui kama ni wale madumejike au vipi nao walikimbilia kumchezea huyo msichana mchafu chafu ,sijui hata alitokea wapi ,Jestina pengine anamjua maana alikuwa anamvuta nakumuambia Mzee Yusuf is ok ,mwache akuchezee''sasa nikabakia na chka sana na hata Jestina alicheka sana maana wale vijana hawakumpa Mzee Yusuf nafasi kabisa walikuwa wanamgombania wamkalie '' na ndipo Mzee Yusufu akaamua kucheza Mduara na kuwaachia wale Vijana Kiti na Uwanja 'yani sasa Show ilikuwa ya kwao kama mnavyoona hapo chini '' basi na mimi ndipo nikampiga Mzee Yusuf picha akiwa anaendeleza Mduara kama tunavyofanya kwa wasanii Wengine ''Lakini alikuja mbio nakunishika kwa Nguvu mkono wangu na kutaka kuninyang'anya my Camera akidai kwamba hataki kupigwa picha sialisema? nikamuambia yes ulisema usipigwe picha ukiwa unachezewa kwenyewe kile kiti na mimi sijakupiga maana hata hujachezewa ,akaniambia nimuonyesha picha zangu nikamuonyesha,yani hutaamini kwamba aliacha kuimba kabisa anasubiri nimuonyeshe picha na kuzifuta,nikamuambia sifuti ,ila kwa heshima yako picha hizi hapa nifute ipi ? akaniambia naomba uifute hii ,nikaifuta,akaniambia na hiyo inayofuata pia,nikaifuta,baadae nikaona sasa huu ni upumbavu nikae hapa nikimuonyesha picha ngapi akizifuta'? nikampa camera yangu nikamuambia chukua futa wewe maana sasa unanizingua,akakataa na kusema ataivunja camera yangu ,nikamuambia hii hapa shika vunja''basi rafiki yangu akamuambia hana lolote hebu akatuimbie kwani yeye ni nani asipigwe picha,,? Hapo akaondoka na kupanda stejini na kuanza kuhubiria watu kwamba hataki watu wapige picha na isitoshe picha zote walizopiga wasizirushe mitandaoni kwani huko magazeti ya bongo wanazifaidi buree na kwenda kuuza magazeti yao bila sisi kupata chochote''yani watu walibakia wanashangaa na huku kushindwa kumjibu '' Ndipo akamaliza na kuendelea na Nyimbo zake Boring'' 
Na mimi kweli alinikasirisha sana na nikarudi kwenye meza yangu na kujiandaa kuondoka maana was off mood kabisa 'yani anabahati kuna mtu au niseme kuna watu ambao siku izi nawaheshim sana sijui ninjemfanyaje pale Mzee Yusuf'' Yani anabahati sana'' na hiyo ajue ni Bahati yake ya mara moja tu 'next time hajui atakutana na nani '' But mle ndani kulikuwa na fujo kibao mara watu kupigana kwa mambo yao wenyewe na wengine kupigana kwa sababu ya show kumalizka mapema na Mzee Yusuf hajapiga Nyimbo zake zile zinazomfanya ajulikane'' basi wengine tulivyotoka mle ndani tuliwaacha pale nje wanamtukana matusi ya kila aina na kusema wanamsubiria atoke mle ndani ''sasa sijui kama walimpata au vipi''but alijitakia mweneywe pamoja na Chrisluv na mwenzake Vanmpromotions waliomleta'' Habari ndiyo hiyoo,,jamani Nyie mshaona wapi msanii anakataa asipigwe picha stejini ? Yani hata mastaa wakubwa kama kina Diamond hawalalamiki atakuwa yeye? hebu semeni yenu jamani ,ndiyo maana nikamuita Selfish Market Dog''na nitawezakurudia tena hata mara elfu ''Yes He is a Selfish Market Dog'' haya magazeti ya Bongo hata kama nina Dili nao wakiuza magazeti yao ''Yeye si ashalipwa kwa pesa zetu tulizolipa kuja kumona nazo.japo wachache ndio walikuja ambao hawakuwa wanamjua kama Mimi'' Mbuta Nanga'' na asirudi tena UK maana atachezea viti na wala siyo watu wachache alowaona this time'' Eti bila haya Flora Lyimo wewe unadili na magazeti ya Bongo na camera yako nitaivunja ikiwa hutafuta picha zote,,sasa hizi hapa sikufuta''umelikoroga na utaliogea sasa''I wish I was in dili na hayo magazeti Mzee Yusuf'' Yani huna lolote kwa kweli '' Kubali kulamba lamba ulonao sasa Uzee ushakushinda na kukuingilia vibaya mno'' kama jina lako linavyokuwakilisha'' Habari hii pia utaisoma pia''
Flora Lyimo Fashion Police Blog''

1 comment:

  1. Mpotezeeeeeeeeeee'''Mbuta Nanga'hivi hakujui eeeee''sipati picha ungempigaje mateke yako'' hahhahaaaa'' hana lolote anazeeka vibaya huyoooo''

    ReplyDelete