KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 18 May 2014

BY FLORA LYIMO ~ HATARI'' UKITIZAMA HI LAZIMA NYEGE ZIKUPANDE KAMA HAZIKUPANDI BASI WEWE HUFAI' MBUTA NANGA''OMMY DIMPOZ WITH HIS SEXY GIRLS ON STAGE'AFUNIKA SHOW YA PAMOJA WITH DIAMOND IN LONDON 'MBUTA NANGA'' HII NI ALBUM (1) MORE TO COME''


Kama Vanessa vile on stage with Dimpo Live'Just Me and You ''Enjoy '' 
 Simwajua mapozi huanzia at Home''Basi your Top in Town Flora Lyimo 'mapozi yake ya kuanzi at her London Home ndiyo hayaa'' and this is what nilivaa last night'' now nakuachia picha zikuambie kila kitu''Cuka nazo taratibuu maana unapicha zaidi ya hamsini hapa zakutizama'


The Handbag mmeliona eee'Chanel Boy bag on sale by:Flora Lyimo Designs&Trades''Also tuna rangi ya summer ''Blue Moshi''
Katutangazeeeeeeeeeeeeee'mbuta nanga''Asie tujua nani in Riyama's Voice'' Hhahaaaa''
My super Mdogo wetu nampendaje sasa''and she Love me jamani ''I always Farajika sana when my Fans come to me na kunisalimia huku wakitaka picha za pamoja au zao wenyewe'' You know what my Fans ''I'm so happy because of YOU''ALL OF YOU WHO LOVE ME'' I LOVE YOU TOO'' BE BLESS ALWAYS''Na kila mnionapo msiogope to say Mambo vipi Our Top in Town '' MBUTA NANGA''Asie tujua ni nani ? in Riyama's Voice'' Hii inaitwa Family Maendeleo ''

KUANZIA HAPA PICHA ZA CHINI NDIZO ZA KUKUPANDISHA NYEGE OMMY DIMPOZ NA MADANCER WAKE WAKIKE'' YANI NI FUNIKAAA' KWELI TUNAWEZA SIYO MCHEZOO
OMMY DIMPOZ ''AKIJIFANYIA YAKE '' HAMNA KUOGOPA NYUKI WALA SIMBA'
MBUTA NANGA'''

I just love huyu Mdogo wetu ''She is so pretty na anajikubali si mchezo'' Dimpoz you say you are single Mrembo Mpora wakishua ndiyo huyoo''mbuta nanga''Mwanaona mambo ya kina RiiRii eee'' The hair utajua Show ilikuwa bombaaa'thanks to our Super Star Ommy Dimpoz na sexy Warembo wake''


Vanesa was there too ''hahahaa''she just love Dimpoz even last time nani anamkumbuka huyu Mdogo wetu ''Dimpoz akasema she look like Vanessa'' mbuta nanga''Next time mje na Vanesa mwenyewe jamani''
haahaa'Muke ya Kass's hakubakia nje ya jukwaa' ''Yani I just Love her so Much '' looking Fab pia''Hahahhaa''hivi hapa pichani mbona kila mtu anashangaa shangaa'' yani kila mtu kivyake vyake''mbuta nanga''wacha picha ziendelee'Flora Lyimo Fashion Police yupo kikazi zake zaidi''
HABARI IN PICHA NDIYO HIYO ''HOPE UMEPATA KUONA KIDOGO YA PICHA ZA SHOW YA JANA YA DIAMOND AND DIMPOZI' MOR FORTHOS TO COME '
Follow this blog:FLORA LYIMO FASHION POLICE  BLOG

No comments:

Post a Comment