KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday 11 August 2014

WHATS ON ? BREAKING NEWS ''MSIKILIZE ALIKIBA AKIELEZEA KISA CHA UGOMVI WAKE NA DIAMOND 'KUMBE WALIMTAPELI ? MBUTA NANGA''ALI KIBA: NIMEJIPANGA KWA MUDA MREFU KUONESHA SHOO KALI TAMASHA LA MATUM...

2 comments:

  1. Mtangazaji wa kipindi cha sporah show ametuhumiwa kwamba anapenda kukuza mabeef ya wasanii tanzania ama ni yeye kuwa na elimu ndogo ya utangazaji kiasi kwamba anakosa cha kuuliza Wadau wengi waliyasema hayo
    kutokana na sporah kumuita Ally Kiba na kuishiwa maswal baada amuulize naswali yanayomuhusu Ally K kakazana na Diamond weeee huyu dada vipi?mmoja wa mashabiki alikereka.Mpaka ally kiba akamwambia dada sporah why diamond??Sporah be creative
    Jikumbushe stori yenyewe ilikuwa hive "Hatimaye Kwa mara ya kwanza staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba ameibuka na kumlipua hasimu wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, hali inayotafsiriwa kwamba bifu lao sasa limefika pabaya ikidaiwa kwamba wanagombea nyota (ustaa).
    Kupitia Kipindi cha The Sporah Show, usiku wa Jumanne wiki hii kwenye CloudsTV, Kiba alimchakaza Diamond ambapo alifunguka mengi ikiwemo chanzo cha ugomvi wao.
    Kiba alizungumzia sosi iliyotengeneza bifu kati yake na Diamond ambapo aliulizwa kama ana namba ya simu ya msanii huyo ndipo akatiririka:
    “Nilikuwa nayo kipindi fulani, nilipohisi amenikosea nikaona sina ulazima wa kuwa nayo.

    ReplyDelete
  2. Tuwekee interview ya Sporah tumchambe na maswali yake ya kijinga kumuonea Ali Kiba wetu. Arudi shule akasomee utangazaji.

    ReplyDelete