KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 20 November 2014

WHATS NOW? FLORA LYIMO HOW TO LOOK SEXY AT HOME IS BACK....KUDADADEKI KUSEMA KWELI NIMEWAMISI MNO MY FANS...AMA KWELI INSTARAM TO ME NI JUMBA LA WATANZANIA LA KUTENDEA DHAMBI''MBUTA NANGA'SIRUDI TENA KULE HATA KWA FIMBO..

MWANAMKE NYAMA NA KUJIAMINI ..MBUTA NANGA!!IGA KWANI KUIGA NI RUKSA'' MBUTA NANGA STYLE FOR LIFE''


JAMANI MSISAHAU KILA KITU APA NILICHOVAA VYAPATIKANA AT FLORA LYIMO TZUK OXFORD STREET LONDON MTAA WA MAPESA AND POSH MTAA''COMING SOON'
 MCHAGGA NA ASILI YAKE'' YANI HILO BEGI LINATOSHEA HATA KUIBEBA MBEGE YAKO MZIMA MZIMA''


 MBUTA NANGA''ASILI YA MCHAGGA NI NINI EEEEEE,EEEEEEEEEEEEEEEEE''

ALBUM 2 IS COMING SOON ''
YANI KWA KUSEMA UKWELI NILIWAMISI SANA MY FANS''
Na kusema ukweli nimefurahi sana nimeweza kutoka kule Instagram kwani kule ni jumba a dhambi wa watanzania''na nimeapa sitorudi kule tena..yani watanzania sijui tumelaaniwa na nani,yani  mtu akiweke kitu cha maana na chakuhuwezesha kuyajenga maisha yake ,huwezi kuona watu wakikufollow au kukuandika mema ,,ila ukiandika matusi watakufuata hadi chooni yani mtu huwa huna raha kabisa na pia muda wakuchunga matusi IG huna so ni bora nilvyo fanya,,NO MORE IG'' Nime log out na kwa kweli sioni ni kwanini watanzaia wengi tunapenda matusi sana badala ya kupenda vitu vya maendeleo' na wale mliokuwa hamjui mimi kabisa nilikuwa sipendi kabisa kuingia kule basi nikasema wacha niende nikajionee mwenyewe'' na kweli i was in just for miezi sita na nikawa na follower karibia 16,000' sasa hiyo juzi baada ya kufua na kumuanika mama baboon 'ndiyo follower wakaanza kumiminika hatareee''kweli yule mama baboon nimeamini ana haters mamilioni na sidhani kama watamuacha mwaka huu'' yani mwaka huu lazima watamshikisha adabu yake..mwanamke mzaa mababoon hujioni mijibaboon yako inavyo ka kishida shida una ona bora kufuatilia maisha ya wenzako na maendelea na kutaka kuwabomolea? yani sasa hapa kwangu utaji nyonga maana Mimi ni mtu mmoja ambae naona mbali sana na ni mtu wa Mungu '' sasa nimewaachieni wasokazi jumba lenu la dhambi ambalo ni Instagram''Ila ''
 MSIJALI NITARUDI ONE DAY ( NOT) Ruwa Mangi ''

2 comments:

  1. Never mind about her Flora....you are so beautiful and besides true strength is keeping everything together when everyone expects you to fall apart.!!Just focus on your business Flora.....hugssss

    ReplyDelete
  2. Mimi umenifanya ni pate usingizi...coz nilikua natazama under the dome ,,,,nikasema hapa ngoja nikamcheck mtu wangu wa UK Mutananga yani am so happy kabisa.

    ReplyDelete