KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday 25 November 2014

WHATS NOW ? THE WEDDING OF JOSEPH AND VICKY(Album 1) IKISHUHUDIWA NA KUSHEREKEWA NA THEIR FAMILY PAMOJA NA TEAMBLESSED''JANA 24/11/2014 AT GLOBAL BUFFET RESTAURANT LONDON''





HABARI NDIYO HIYOOOO''KIMASO MASO MWANANGU MSIMUONEEE''FLORA LYIMO AKIKUCHEZEA KAMA KAWA YAKE KIUNO KAMA FENI'' AIESEE'UKIONA KINISHINDACHO MIMI FLORA LYIMO ..BASI JUA HAKIJABARIKIWA KABISA''
ENJOY ''KWA KUMSIKILIZA KING ALI KIBA 'KIMASO MASO ''  NA KUMTIZAMA FLORA LYIMO THE QUEEN OF CHAKACHA'' CHEZEAAAAAAAAAA''MBUTA NANGA!!

 MWAZIONA PETE ZILIZOFANYA KWELI EEEE'' SASA NI MR &MRS MATONDA'' HAKUNA KURUDI NYUMA NI MWENDO WA MBELE KWA MBELE FOR LIFE'' AMEN''






KIATU MWAKIONA EEEEEEEEE'' FABULOUS ''
SHANGAZI LAO ''aka FLORA LYIMO TZUK FASHION POLICE ''

KILA KITU NILICHOVAA HAPA HADI CHUPI NI BY FLORA LYIMO TZUK''MBUTA NANGA!!

GORGEOUS SHANGAZI ZAKE FLORA LYIMO TZUK FASHION POLICE''













MBUTA NANGA'' LOOK WHO IS NEXT ''' YANI I CANT WAIT '' HAHHAHA!!



I JUST LOVE HER WITH HER FAMILY SO MUCH '' FOR SURE WE ARE FAMILYBLESSED''


SO NOW TUNA JUA NEXT WEDDING NI YA NANI '' YANI I JUST CANT WAIT ''
                                          ''ABOUT THE CEREMONY OF JOSEPH AND VICKY'
I think wengi au wachache wenu mnawafaham'Vizuri Joseph and Vicky ' pia wengi mmekuwa mmewaona wawili hawa kabla hata hawajajaliwa kuwapata Mapacha wao wawili wa kike'' Yani hakuna analoliweka mbele yako Mwenyezi Mungu na Bianadam yoyote aweze kulibadilisha'' LITACHUKUA MUDA'but''LITAKUJA NA UTAKUWA HATA USHASAHAU 'WEWE MWENYEWE YOU DID PRAY FOR IT''
Ni Muda mrefu wamejuana ,wameishi pamoja na hata kujaliwa watoto wao mapacha bila kufunga ndoa (KAMILI)lakini siku yao ambao Mungu aliiweka mbele zao kufunga Ndoa yao (KAMILI)''kwa Serikali ya Uingereza na hata Dunia kushuhudia na kuwakubali kuwa Mme na Mke ni Jana tarehe 24-11-2014 Yani was nothing but a special day  to them to make sure their day was relaxed and full of laughter with their Children Family and Marafiki zao wa karibu bila kusahau wale wanaojitolea kuacha wanachokifanya na kuhudhuria shughuli za wenzao wanapo alikwa'' ''wakijiamini na kujua kwamba kesho it can be them who will need their time pia'' Yani is more like ''pay back time'' 
You know what ? nashindwa hata kuandika sababu nimeshiba yani nimekula kupitiliza kiasi ''hapa mahali bwana ni pazuri misosi usipime kabisa'' i just cant wait to be back there for sure''
ANYWAY '' IKIWA HAUPO KWENYE ALBUM HII'' USIJALI '' UTAKUWA KWENYE THE NEXT ALBUM ''TO COM SOON ''
FOLLOW HII BLOG SO USIKOSE MAMBO MOTO MOTO BY YOUR TOP IN TOWN ''
FLORA LYIMO TZUK FASHION POLICE BLOG

No comments:

Post a Comment