MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Sunday, 7 December 2014
WHATS NOW? HIVI HUKO MAREKANI HAKUNA MAVAAZI YA KUTOKEA KIPINDI CHA XMAS ? YANI MMEVAAJE KIHASARA HASARA'' ILA ONA MISSY TEMEKE ALIVYO WAONGOZA WATANZANIA WENZAKE KUMDONDOSHEA MIMANOTI YA NGUVU SUPER STAR NA NYOTA SAFI DIAMOND KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 53 YA UHURU ''
MASTAA WAKUTANA ''MISSY TEMEKE AKIMDONDESHEA MIMANOTI YA NGUVU 'NYOTA SAFI DIAMOND'' TUMIA PESA ZIKUZOEE MY SUPER DISIGNER MWENZA''
HAPOOOOOOOOOOOOO KWAKEEEEEEEEEEE''MBUTA NANGA!!
HAPOOOOOOOO KWAKEEEEEEEE''MDOGO MDOGO HADI KIELEWEKEE''
MBUTA NANGA'' KWELI NYOTA SAFI NI SAFI TU'' WATU WEEEEEEEE'''
HAPANA CHEZEA PESA WEWEEE'' HEBU MUONE ANAVYO ZIOKOTA'' NI SHIDA YENU SIYO YAKE KABISAAA'' MBUTA NANGA!!
BAHARI YA MAMINOTI'' SI MCHEZO MISSY TEMEKE MMETISHAAAA'' WEWE NI SHIDA YAOOOOOO''MBUTA NANGA!!
ONA WALIVYO DONDOSHA MAMINOTI HATAREEEEEEEEEE''' YANI MISSY TEMEKE NA WENZAKO MLIO DONDOSHA MIMANOTI HII'' JUENI ''MMETISHAAAAA'MBUTA NANGA!!
MANOTI YAKIDONDESHEWA DIAMOND '' TUMIA HELA ZIKUZOEE HASWAA''
ONA SASA DIAMOND PLATNUMZ NA MADANSA WAKE WALIVYO VAA IPASAVYO ''KISHEREHE SHEREHE HASWAA'' NA SIYO KIHASARA HASARA''
BALOZI AKIMSHUKURU DIAMOND KWA KUWEZA KUSHIRIKI NA WATANZANIA WENZAKE AKIWABURUDISHA IPASAVYO 'KWA SIKUKUU YA MIAKA HAMSINI NA TATU YA UHURU WA TANZANIA BARA'' MUNGU IBARIKI NCHI YETU TANZANIA NA WATU WAKE WOTE'' NA VILE VILE KILA KILICHOPO NDANI YAKE NA HATA NNJE AMBACHO NI CHA TANZANIA '' RUWA MANGI 'AIKA MBEEE''
HONGERENI WATANZANIA WENZANGU ''IM SO PROUD OF YOU ALL''
ILA KITU MLICHO NIANGUSHA NACHO NI MAVAAZI YENU ''
HIVI '' HUKO MAREKANI HAKUNA MAVAAZI AU HAMJUI MAVAAZI YA SIKUKUU ZA XMAS NA ZA KUSHEREKEA SIKUKUU ZA NCHI YETU TANZANIA'' ? YANI MMEVAA KIHASARA HASARA KAMA BASI MWAJIENDEA SHEREHENI ZA MIKUTANO''
Yani kiukweli Picha zote nilizotizama NI WATU WACHACHE SANA Yani kama SITA waliojitokeza kuvaa ipasavyo '' Kweli nimeshindwa na kuchoka'' NGACHOKA''kabisa kutizama picha hizo zilizorushwa kwenye Blog ya Jestina kihasara hasara'' I think hata ndiyo maana wamefanya kuzirusha kule KIHOVYO HOVYO' ''YANI HATA DIAMOND PAMOJA NA MADANSA WAKE WALIJIANDAA HASWA'' YANI IPASAVYO '' I think walikuwa wanadhani Watanzania kwa kipindi hichi cha sikukuu za Xmas pamoja na za Uhuru wetu hasa kufanyikia Hotelini mtavaa hatari ''kumbe wapi '' Yani mmemuangusha sana Nyota safi Diamond'' I think ndiyo maana akaenda kuvua Lile jacket suit na kuvaa kihasara hasara ili muende sawa'' JAMANI WATANZANIA WENZANGU HUKO MAREKANI '' JUENI NINI CHA KUVAA SIKU ZA MUHIM'' YANI SIKU HII NI MARA MOJA TU KWA MWAKA'' MNASHINDWA KUVAA MPENDEZE'' ? MBUTA NANGA!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment