After what happened to the poor lady Violet Njau nimeona niachane na huu ujinga…
She passed away a few hrs ago @ Muhimbili hospital baada ya kunywa simu….
Kama mnavyojua Tanzania na Marekani tumepishana sana masaa kwahiyo hata mume wake aliponitumia message za kunisisitiza nitoe posti na kwamba amesha dili na mke wake nahatorudia tena kunitukana mimi nilikuwa nimeshalala… Nimekuja kuamka asubuhi ndo nakutana na email kutoka kwa mume wake na missed calls nyingi na message za msiba….
A life has been lost over stupid shit .maybe I should have tried to ignore them zaidi…. Mwisho wa siku mimi ni binadamu kama binadamu wengine. Ukweli ni kwamba kama ningejua alikuwa ni mtu ambae hana kifua na ni mtu ambae ni rahisi kujitoa uhai labda nisingejibu kwa ukali vile ila pia mnielewe mimi ni Mama na nna umia watoto wangu kutukanwa bila sababu tena na wanawake ambao wameshazaa.
Yoyote atakae amua kunilaumu mimi kwa kifo cha huyu mama alieacha vitoto vidogo viwili basi ana chuki binafsi na mimi . Wakulaumiwa kwa hili ni Flora Lyimo na mwenzie Linda mkwe wa katibu mkuu wa chadema VICTOR KIMESERA. Hawa ndo walianza kampeni ya kunitusi karibia 2 months na kuwahamasisha watu kama Violet na wengineo kunitukana bila sababu. Kama hawa wasingempa nafasi au kumhamasisha violet anitukane mimi na mwanangu , nisingemjua Violet na wala nisingemtukana……
Naomba hili liwe fundisho wa wengine wote ambao mnapenda kutukana wenzenu huko IG. Maana sasa imefika pabaya…. Je wewe unaetukana watu kila siku huko IG na wewe ukitukanwa utajisikiaje? je utaweza kuhimili? Sasa mjue kuwa matusi sio marahisi kuvumilia. Na as much as i feel remorseful for this woman’s death naomba niweke wazi kuwa sitosita kukutusi wewe na ukoo wako mzima kama ukivuka mipaka..
Msiwafatilize hawa majangili wawili waliozeoa makasheshe… Linda ameuza unga toka yuko teenagaer jiulize kapitia mangapi, ana watoto wote hawana baba ila bado yupo ngangari. Huyu hata umrushie bomu anaweza ku survive. huyo mwingine Mbuta nae ni mgonjwa wa akili usimfatishe sidhani hata kama huwa anakumbuka what happened the day before. Huyu kuna siku mtakuja kusikia kajirusha ghorofani. Maana theres no telling na hawa wagonjwa wa akili. Ila kwa Mbuta Nanga akipatwa na lolote hiyo itakuwa juu yangu sababu im supposed to know better that a mentally sick person…So bora nimwache tu na matusi yake….
With that said, wote ambao mlikuwa kwenye listi yangu ya kuwaanika humu wiki kwa makosa kama yale ya violeta na Wahida nimewasamehe kwa moyo mmoja.
Mimi ni mtu wa kusamehe na kutoa second chance. Kutokana na kilichotokea leo naamini wengine watajifunza. Nitakuwa sijajifunza lolote au kuwa remoseful kama nitaendelea kuwatundika wote niliopanga kuwatundika hata baada ya kitu kama hiki kutokea.
ila natoa onyo. Achaneni na mimi ….
Linda mkimbizi acha kutusi watoto hivi nikianza kuchambua hao wako? maana una wanne hakuna hata mmoja alie na nafuu.Kuna mwenye makengeza, mwenye domo ka chai jaba, yani nikiamua kua mshenzi wa kutukana watoto wako naweza andika novel.Jiheshimu
PS: Kuna somebody Songambele naona anatukanwa sana na Linda mkimbizi kuwa ndo alieniambiwa kuwa yeye ni mkimbizi. Maskini ya Mungu. Hata nikionyeshwa picha ya huyo dada siwezi kumjua. Jamani shangingi lina dhambi hili… Unamshuhudia dada wa watu uongo na kumtusi kama kafanya…. Na linajisifia eti huyo dada kampifia simu Leyla analia anawaambia hajasema? Hivi huoni hata huruma?Angekuwa kafanya kweli angekupigia for what? Naomba mjue huyu dada somebody songambele. Hanijui simjui maskini. Wewe dada usije kujiua bure sababu ya wavuta unga wa long time. Ishi kwa amani mwaya…
IM DONE WITH THIS SHIT…..
Endeeleeni na ufala wenu…. Ila siku nikiibuka tena mtachora chini maana mnanijua…… Na linda sitodili na wewe maana akili zako ulishazijazaga unga… Nitadili na Mali Kimesera na Mzee kimesera mpaka wajute kukufahamu…..
Jamani narudi tena kukaa kimya Hawa pumbavu acha waendelee siku nikishindwa tena uvumilivu sitaki lawama…..
Yani naumwa roho sana kuhusu huyu dada. As much as nilikuwa nna hasira nae ila nimelia nikifikira kaacha watoto kwa sababu ambazo hazikuwa na msingi.
Yani nimekuwa kama mgonjwa leo….. I feel like crap. Hiki sio kitu kizuri kuwa associated nacho. Although sikumuua mimi ila kila watu watakapoongelea kifo cha huyu dada jina langu litakuwa linatajwa….DAH. wale vichaa wawili nani anawajua kwanza? Yani hii issue itaniangua mimi tu utadhani mimi ndo nilikuwa namtuma atukane… Waliokuwa wanamtag na kumshawishi atukane wala hawatotajwa ila mimi tu…
VIOLET I HOPE YOU WILL FORGIVE ME FOR I HAVE FORGIVEN YOU UNGEJUA UNGENIPIGIA HATA SIMU YA KUNIOMBA MSAMAHA KWA ULICHOKIFANYA KWA MTOTO WANGU NINGEKUSAMEHE NA KUTOA ILE POSTI MIMI NI MTU WA KUOMBA MSAMAHA NAPOMKOSEA MTU NA HUWA NI MTU WA KUSAMEHE KWA HARAKA SANA….SIJUI KUISHI NA KINYONGO……
R.I.P VIOLET NJAU.
HII NI BAADHI TU''KUTOKA KWA KILE KIBLOGUNUKA CHA MPARE ASO HILI WALA LILE''
No comments:
Post a Comment