MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS
CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com
FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Sunday, 4 September 2016
WALISEMA HATAOLEWA SASA KAOLEWA'' MY PACHA SHAMSA FORD SUPER STAR WA BONGO MOVIE AOLEWA 2016
HAPO SASA'' HONGERA SANA MY PACHA NA PIA NAPENDA NITOE PONGEZI ZANGU KWA WASANII WENZAKE WA KIKE ''YANI KWA KWELI NIMEWAPENDENI ZAIDI '' THATS HO PEOPLE WANATAKIWA KUISHI HAPA DUNIANI HASA PALE UNAPOKUWA UPO NAO KARIBU NA KIKAZI ''KWANI UNAWEZA KUJIKUTA UPO NA WATU KAZINI KILA SIKU ZAIDI YA HATA UNAPOKUWA NA FAMILIA YAKO HATA WATOTO WAKO KILA SIKU''
KWELI HUU NI MFANO MZURI MMEONYESHA WATZANIA WENZENU '' TUPENDANE NA KUSHIRIKIANA KWA SHIDA AU RAHA'' BILA UVIVU AU CHUKI BINAUSI 'KWANI UKIFA HUJUI ATAKAE KUZIKA'' HONGERENI TENA MY DEARS''
GOD BLESS NDOA YA SHAMSA FORD NA CHIDI MAPENZI'' PIA NA NDOA ZOTE ZA HALALI #AMEN''
No comments:
Post a Comment