MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Monday, 26 May 2014
BY FLORA LYIMO ~ DATIVA NAE YUMO 'UMOJA NI NGUVU 'THANKS FOR YOUR LOVE AND SUPPORT MY DARLING'BE BLESS ALWAYS!!
Haya waeeee'wachezee Iringi lol'hahhahaaa'' Nice one you look Good oooo'''
HABARI NDIYO HIYOO'' HELP SAUTI YETU ISIKIKE'' I SAY BRING BACK OUR GIRLS''
SUPPORTED BY: www.floralyimofashionpoliceblog
Follow:FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG
Instagram: flora-lyimo-mbuta-nanga
BY FLORA LYIMO ~ NIWIENI RADHI KWA PICHA HIZI '' POLICE PAMOJA NA MAJAMBAZI WAULIWA KINYAMA IN DAR'' HAWA NI NDUGU ZA WATU JAMANI YASIKITISHA MNO'''
Mwili wa askari aliyeuawa ukiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya Temeke
Askari polisi mmoja wa kituo cha polisi Chang'ombe, Mkoa wa kipolisi wa Temeke, ameuawa kikatili siku ya ijumaa mchana baada ya kupigwa risasi ya kifua na majambazi waliokuwa wanajaribu kutoroka baada ya kufanya tukio la kihalifu. Askari hao waliokuwa doria katika eneo la Wailes walijikuta wakishambuliwa kwa risasi na majambazi hao mara baada ya majambazi hao kujaribu kukimbia katika eneo la tukio kwa kutumia usafiri wa pikipiki kipindi ambapo askari polisi walikuwa karibu na eneo la tukio. Hata hivyo wakati askari hao wakijaribu kuwafukuza majambazi hao wawili kwa lengo la kuwakamata ndipo jambazi mmoja alitoa bastola na kumpiga risasi ya kifua askari huyo na kufariki pale pale.
Mwili wa askari huyo ukiwa umehifadhiwa.
Hata hivyo katika harakati za kujaribu kukimbia majambazi hao walianguka na pikipiki waliyokuwa wakitumia ndipo wakaamua kutimua mbio mitaani na kuingia katika nyumba moja ambapo walijificha na kujifanya kama ni wakazi wa eneo hilo, baada ya wnanchi na polisi kufika katika nyumba hiyo, baadhi ya majirani waliwaambia polisi kwamba wameona watu hao wameingia katika nyumba hiyo. Baada ya polisi kuingia waliwakuta watu hao wakiwa wametulia kama kwamba wao ni wakaazi wa nyumba hiyo na wala hawajui lililotokea.
Mwili wa mmoja wa majambazi ukiwa chumba cha kuhifadhia maiti
Baada ya kuwatambua watu hao, polisi waliwatia nguvuni huku wananchi wenye ghadhabu waking'ang'ania kuwa wanataka kuwaua sababu wameshaua askari mmoja. Baada ya vuta nikuvute kati ya wananchi na askari hao ambao walikuwa wachache, wananchi walifanikiwa kuwachukua majambazi hao kwa nguvu kutoka mikononi mwa polisi na kuanza kuwapiga kwa silaha mbalimbali za kienyeji yakiwemo mawe na marungu mpaka watuhumiwa hao wakapoteza maisha.
Mwili wa jambazi mwingine ukiwa umeharibika vibaya baada ya kipigo kikali kutoka kwa wananchi wenye hasira.
Mwili wa askari polisi ukiwa umepakiwa kwenye gari ya polisi tayari kupelekwa hospitali ya Temeke kuhifadhiwa.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo waliiambia blogu hii kwamba majambazi hayo kabla ya kupambana na polisi walikuwa wamefanya uvamizi na kumuibia mwanamke mmoja mkazi wa eneo hilo. Hata hivyo mali au fedha iliyoibiwa haikuweza kujulikana mara moja.
THANKS KWA MRUSHA PICHA HIZI NA HABARI
Follow:FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG
BY FLORA LYIMO ~ POPE FRANCIS TODAY IN THE MOST HOLY CITY IN THE WORLD.BRING TOGETHER THE WORLD'S THREE GREATEST RELIGIONS WITH A JOINT HUG FOR A JEW AND A MUSLIM'.FLORA LYIMO SAY~ NOW BRING BACK OUR GIRLS PLEASE'' TOGETHER WE CAN!!

Pope Francis bows his head briefly before placing a note in the Western Wall in Jerusalem on the third day of his visit to the Middle East'
Pope Francis today continued is diplomatic initiative to revitalise the stalled Middle East peace process by a hugely symbolic gesture beside Judaism's holiest site.

Pope Francis was greeted in the Old City of Jerusalem by the grand mufti Muhammad Ahmad Hussein, left, outside the Dome of the Rock, the third most holy site in Islam'
The Pontiff prayed at some of the holiest sites in Christianity, Islam and Judaism over the past three days and will hold a mass this evening at the location believed to have been where Jesus hosted his last supper.
Pope Francis, in accordance with Jewish tradition left a note in a crack in the Western Wall calling for peace and understanding between the three religions.
He bowed his head solemnly at the site, which is regarded as the holiest location in Judaism. He performed a similar gesture earlier in his trip at a controversial Israeli 'peace wall' in Manger Square, Bethlehem.

Pope Francis, right, greets his friends Rabbi Abraham Skorka, left and Omar Abboud, centre outside the Western Wall. Mr Skorka and Mr Abboud are firm friends with the Pontiff having worked together in Buenos Aires'

Pope Francis laid a wreath at the Hall of Remembrance at the Yad Vashem Holocaust Memorial in Jerusalem where he said God had been shamed by what man 'was capable of doing'

Pope Francis kissed the hands of several Holocaust survivors at the Yad Vahsem Holocaust museum during his visit to Jerusalem'

Pope Francis speaks with Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu at the Yad Vashem Holocaust Memorial in Jerusalem'
He said: 'May we respect and love one another as brothers and sisters. May we learn to understand the suffering of others. May no one abuse the name of God through violence.'
Pope Francis also visited the Western Wall which is the holiest place in the Jewish world. He took time to pay homage to Jews murdered by the Nazis during World War Two.
The Pontiff has used his three day trip as a major diplomatic exercise having visited several of the most sensitive sites in the Muslim and Jewish world.
Pope Francis also prayed at the wall which dividing Bethlehem and Jerusalam which was seen as hugely symbolic.

The Western Wall is Judaisim's holiest prayer site and Pope Francis used the opportunity to call for peace between Jews, Christians and Muslims'
Prime Minister Benjamin Netanyahu used the opportunity of the Papal visit to explain the security situation facing Israel during an impromptu visit to a terrorism memorial.
Among the names listed were 85 people killed in the 1994 bombing of a Jewish associaiton in Buenos Aires. The Argentinian pope was an auxiliary bishop of the city at the time of the attack.
BY FLORA LYIMO ~ MBUTA NANGA!! KITOMBI TOMBI APATIKANA MKE WA NDOA KAIOZESHA ARUSI YAKE NA MBUNGE ILIYOKUWA IZIYEYUSHE MIL'S 96 TZSH'' POLICE TANZANIA NAOMBA MUMKAMATE HUYU CHARLES NA APEWE KIFUNGO GELA MIAKA SABA..KUDADADEKI 'NA HICHO KIWE KIFUNGO CHA VITOMBI TOMBI WOTE WATAKAO WATAPELI WANAWAKE KWA NJIA YA MAPENZI''
Vicky Kamata ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya UVCCM, Mkoa wa Geita alikuwa afunge ndoa na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Charles wa jijini…
Hadi gazeti hili linaondoka kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mkombozi, Sinza jijini Dar juzi saa 10:00 jioni, ndoa ya Mbunge Vicky Kamata iliyokuwa ifungwe hapo iliyeyuka.
Vicky Kamata ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya UVCCM, Mkoa wa Geita alikuwa afunge ndoa na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Charles wa jijini Dar.
KATEKISTA AZUNGUMZA NA IJUMAA WIKIENDA
Baada ya kuona muda unakwenda bila kuwepo kwa dalili za wahusika kufika kufunga ndoa hiyo ambayo harusi yake ilidaiwa ingetumia shilingi milioni 96, wanahabari wetu walimtafuta Baba Paroko, Cuthbert Maganga ili kumsikia anasema nini kuhusu hilo.

Hata hivyo, mtu aliyedai ni katekista wa kanisa hilo alisema paroko alikwenda hija, Buguruni, Dar.
Kuhusu ndoa ya Vicky Kamata, katekista huyo alidai Jumapili ya Mei 18, 2014 ndani ya ibada za kanisa hilo ilitangazwa hadharani ‘laivu’ kwamba haitafungwa.
Kuhusu ndoa ya Vicky Kamata, katekista huyo alidai Jumapili ya Mei 18, 2014 ndani ya ibada za kanisa hilo ilitangazwa hadharani ‘laivu’ kwamba haitafungwa.
SABABU ZA KANISA
Habari za ndani zilidai kuwa kanisa lilibaini upungufu mkubwa kwa bibi harusi na kumwambia ndoa haitakuwepo.
Habari za ndani zilidai kuwa kanisa lilibaini upungufu mkubwa kwa bibi harusi na kumwambia ndoa haitakuwepo.
Upungufu huo ni pamoja na Vicky Kamata kushindwa kuwasilisha cheti chake cha ubatizo, pia hakuwahi kupata kipaimara. Ilidaiwa kuwa vitu hivyo kwa uchache wake ni kikwazo kikubwa kwa mtu kufikia daraja la Sakramenti ya Ndoa.
SABABU ZA NDANI
Ukiachana na sababu hizo za kanisa, Ijumaa Wikienda lilichimbua na kubaini sababu kuu 3 ambazo zilikuwa kisiki cha kufungwa kwa ndoa hiyo.
Ukiachana na sababu hizo za kanisa, Ijumaa Wikienda lilichimbua na kubaini sababu kuu 3 ambazo zilikuwa kisiki cha kufungwa kwa ndoa hiyo.
SABABU YA KWANZA
Kwa mujibu wa chanzo, mwanaume aliyetaka kufunga ndoa na Vicky ana ndoa nyingine ya kanisa na imejaliwa kupata watoto kadhaa hivyo isingekuwa rahisi kufungwa kwa ndoa nyingine kwa mujibu wa maandiko ya Biblia. Mume mmoja mke mmoja mpaka kifo kiwatenganishe.

MKE ATINGA BUNGENI
Chanzo kilizidi kudai kuwa wiki iliyopita, mwanamke huyo ambaye jina halikupatikana, alitinga bungeni na kuonana na Spika wa Bunge, Anne Makinda ambapo alijitambulisha ndiye mke wa Charles anayetaka kufunga ndoa na Vicky Kamata.
“Mke wa bwana harusi alikuja Dodoma juzi, akasaidiwa kuonana na spika na mbunge mmoja (jina tunalo).

“Alimwambia spika yeye ndiye mke wa ndoa wa Charles, ila walitengana. Lakini alisema pamoja na kutengana huko, ndoa ya Kikristo haifungwi mara mbili labda mmoja afe. Kwa hiyo mumewe hawezi kufunga ndoa na Vicky,” kilisema chanzo.
SABABU YA PILI
Sababu ya pili ilielezwa kuwa, Vicky asingeweza kufunga ndoa hiyo kwani mwanaume huyo alishatoa mahari kwa msichana mmoja (jina tunalo) wa jijini Dar na ukweni anajulikana.
“Alishatoa mahari kwa msichana mwingine mbali na Vicky, ukweni anajulikana.

Vicky Kamata akiwa katika pozi na mwanaume aliyepanga kuoana naye anayejulikana kwa jina la Charles wa jijini Dar.
“Sasa ilipotoka ile picha yake kwa mara ya kwanza kwenye Gezeti la Ijumaa (Mei 16, 2014) yenye kichwa cha habari ndoa ya Vicky itatumia shilingi milioni 96 ikawa kasheshe kwa yule msichana na ukweni, ndiyo jamaa akaamua kutangaza kubatilisha ndoa na Vicky,” kilisema chanzo.
SABABU YA TATU
Sababu ya tatu ilitajwa ni kitendo cha kuumwa. Wikiendi iliyopita, Vicky aliugua ghafla na kulazwa katika Hospitali ya Tabata General jijini Dar kwa hiyo isingekuwa rahisi ndoa kufungwa Jumamosi kutokana na hali yake kuwa mbaya.

WAANDISHI WATINGA HISPITALI
Ijumaa iliyopita, waandishi wetu walitinga kwenye hospitali hiyo na kukutana na daktari mmoja ambaye alikiri Vicky kulazwa hapo lakini alikataa waandishi wasimuone kwa sababu hayuko katika hali nzuri kiafya. “Ni kweli Vicky kalazwa hapa lakini hamuwezi kumwona, hayuko katika hali nzuri, anahitaji kupumzika jamani, please,” alisema daktari huyo.

HATIHATI ILISHAKUWEPO
Katika Gazeti la Uwazi la Mei 20, 2014 ukurasa wa mbele kulikuwa na habari ndogo yenye kichwa kisemacho; NDOA YA MIL. 96 YA VICKY KAMATA HATIHATI KUFUNGWA.
Katika habari hiyo ilielezwa kuwa ndoa hiyo isingefungwa kutokana na kuibuka kwa mizengwe kibao.
Habari za ndani zilisema mizengwe hiyo iliibuka katika hatua za mwisho na kusababisha mwanaume kuamua kubatilisha ndoa hiyo ambayo ilikuwa ifungwe Mei 24, mwaka huu jijini Dar.

KIONGOZI MKUBWA SERIKALINI
Ilidaiwa kuwa baada ya kuibuka kwa zengwe na mume kutangaza ndoa basi, Vicky aliumia na kuzifikisha habari hizo kwa Spika Makinda ambapo naye alizifikisha kwa kiongozi mmoja mkubwa serikalini, hasa bungeni.

Kiongozi huyo alichukua jukumu la kumvutia waya bwana harusi na kumsihi kutochukua mawazo hayo na ikibidi ndoa ifungwe lakini mwanaume huyo alikataa katakata akisema mambo hayo ni ya kifamilia zaidi kwa hiyo yaachwe kwenye familia.
MAMA SITTA ASIKITIKA
Habari zinazidi kusema kuwa kati ya watu ambao wamehuzunishwa na kutofungwa kwa ndoa hiyo ni Mbunge wa Viti Maalum (CCM), mheshimiwa Margaret Simwanza Sitta ambaye aliposikia kuyeyuka kwa ndoa hiyo alisikitika si kwa sababu alikuwa kwenye vikao vya harusi, bali pia aliuona wakati mgumu atakaoupata Mhe. Vicky.

WABUNGE WAULIZIA MICHANGO YAO
Pamoja na yote yaliyojitokeza, habari zinadai kwamba baadhi ya wabunge waliochanga pesa ili kufanikisha harusi hiyo tangu juzi wameanza kuulizia michango yao wataipataje kwa vile harusi basi tena!
Pamoja na yote yaliyojitokeza, habari zinadai kwamba baadhi ya wabunge waliochanga pesa ili kufanikisha harusi hiyo tangu juzi wameanza kuulizia michango yao wataipataje kwa vile harusi basi tena!
“Huku Dom (Dodoma) hakukaliki bwana. Baadhi ya wabunge wameanza kuulizia michango yao, wanasema kama harusi haipo basi na chao wakipate,” alisema mbunge mmoja akiomba kuhifadhiwa jina.
WABUNGE WATAJWA KUINJINIA
Mbunge huyo alikwenda mbali zaidi kwa kusema kuwa kuna wabunge wametajwa ‘kuinjia’ zengwe la kutokufungwa kwa ndoa hiyo kwa sababu wanazozijua wao ambazo Ijumaa Wikienda haikupewa lakini inaendelea kuzichimba.

VICKY KAMATA
Vicky alipotafuwa kwa njia ya simu Jumamosi iliyopita ili azungumze lolote kuhusu kuyeyuka kwa ndoa yake hakupatikana hewani.
Vicky alipotafuwa kwa njia ya simu Jumamosi iliyopita ili azungumze lolote kuhusu kuyeyuka kwa ndoa yake hakupatikana hewani.
Imeandaliwa na Chande Abdallah, Nyemo Chilongani na Mayasa Mariwata.
BY FLORA LYIMO ~ HARUSI YA WASANII WA BONGO MOVIE 'HII HAPA 'HIVI HUKO TANZANIA HAKUNA MAGAUNI YA MAHARUSINI ?''NA IMEPAMBWA NA WASANII WENZAO 'AKIWEPO KAKANA MSANII MWENYE SAUTI YA KUWAFANYA WANAWAKE WAACHE HATA WAUME ZAO'' YANI SI MWINGINE NI SUPER STAR CLOUD'' HE GOT THE SEXIST VOICE TO LISTEN FOR EVER''MBUTA NANGA''
HATIMAYE wasanii Vanita Omari na Paulynus Mtenda wameuaga ubachela kwa kufunga ndoa ambazo zilipambwa na wasanii wenzao kutoka klabu ya Bongo Movie, wakiwemo Steve Mengere ‘Nyerere’, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ambao walijumuika katika ukumbi wa Mwika uliopo Sinza jjini Dar'
HABARI NDIYO HIYO NADHANI YANGU MMESHAYASOMA NA KUYAWEKA MANANI
PICHA PIA MNAONA ZINA LEBOOOOOO''' MBUTA NANGA' GLOBAL PUBLISHERS NISHAWATANGAZAAAA''
Follow:FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG.
Sunday, 25 May 2014
BY FLORA LYIMO ~ UKIONA MTU NA UCHIZI WAKE MUACHENI 'IPO SIKU ATAACHA MWENYEWE'' NICKI MINAJ NA UCHIZI WAKE KAACHA HAPA UTADHANI SIE KABISA'' MBUTA NANGA!!

We see you! Nicki Minaj wore a nude stretchy dress that looked like Spanx as she showed up to the LIQUID Memorial Day party in Las Vegas on Saturday'She is known for her outlandish style.
But Nicki Minaj took things in the opposite direction on Saturday, by dressing in a particularly tight dress made entirely of nude shapewearfabric.
The 31-year-old singer is sure to have made an impression on Las Vegas partygoers as she showed up to the LIQUID Memorial Day bash.

Jewels: The Marvin's Revenge singer wore an array of accessories on her fingers and hands'
JAMANI WATU HUBADILIKA KWA HIYO MSIWALAZIMISHE KUBADILIKA''WAACHENI WATABADILIKA WENYEWE''
Tumechota na kumimina kutoka DM Ilimjifunze'
Follow:FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG
BY FLORA LYIMO ~THIS IS HOW WE ROCK THE WHITE PARTY 2014 IN LONDON LAST NIGHT'' WAS FAB 'KWA RAHA ZETU'
FLORA LYIMO SUPPORT TO OUR GIRLS''
AISHA SUPPORT TO OUR GIRLS'' BE BLESS MY SHOSTITAMU WANGU''
UMOJA NI NGUVU''
HABARI NDIYO HIYO ''WE HAD FAB NIGHT KWA KWELI ''
Follow:FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG
AISHA SUPPORT TO OUR GIRLS'' BE BLESS MY SHOSTITAMU WANGU''
UMOJA NI NGUVU''
HABARI NDIYO HIYO ''WE HAD FAB NIGHT KWA KWELI ''
Follow:FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG
Subscribe to:
Posts (Atom)