KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 4 May 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * BREAKING NEWS!! LOOK OF MGONJWA" NIMEGUSWA SANA NA HUYU MWENZETU " KWA KWELI MIMI NITAWAHI WESTERN UNION "JUMANNE ,JUMATATU HAKUNA KAZI UK" TUUNGANE KWA CHOCHOTE NDUGU ZANGU WATANZANIA KUMSAIDIA MWEZETU KUTOA NI MOYO NA SIYO UTAJIRI" NA NAOMBA MWENYEKUJUA NAMBA YA MKE WAKE YA SIM ANIPE PLEASE" NAMBA YANGU NI +44 ) 0778 7471024 "

---KAMA TUJUAVYO MOVIE STAR "SAJUKI" ANAUMWA NA ANAHITAJI MSAADA ILI AWEZE KWENDA KUTIBIWA INDIA HARAKA IWEZEKANAVYO!. SASA BASI KAMA UMEGUSWA NA UNGEPENDA KUCHANGIA TAFADHALI SANA TUMA MCHANGO WAKO KUPITIA AKIBA BANK A/C # 050000003047 A/C NI YA MKE WAKE WASTARA JUMA AU UNAWEZA KUTUMIA M PESA 0762189592.KWA WALE MLIOKO NJE YA NCHI MNAWEZA KUTUMA MICHANGO YENU KUPITIA WESTERN UNION KWENDA KWA WASTARA JUMA ISSA, DAR ES SALAAM, TANZANIA.PESA INAYO HITAJIKA KWA AJILI YA MATIBABU NI MILION 25.SAJUKI ANA SUMBULIWA NA UVIMBE TUMBONI AMBAO UMEKUWA UKIDHOFU MWILI WAKE SIKU HADI SIKU.KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI TUMSAIDIE SAJUKI AMBAE KWA HAKIKA ANA UMWA NA ANAHITAJI MSAADA WETU. TOA KUTOKANA NA VILE MUNGU ALIVYO KUBARIKI.

TUENDELEE KUMUOMBEA SAJUKI ILI MWEZI MUNGU AWEZE KUTENDA MIUJIZA YAKE.

Ruwa Mangi"
Nakuombea Mama Bikira Maria Atakuombea kwa mwanae pia"
WITH LOVE -Miss FB Flora Bahati Lyimo"

No comments:

Post a Comment