KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 26 February 2013

MTANZANIA HALISI AKIWA JIKONI " THIS TIME NI MAPISHI YA SAMAKI NA MAHALI PAKUWANUNUA IN LONDON "

 Flora Bahati Lyimo " Mtanzania aipendae Nchi yake kupita maelezo ,aliyezaliwa Uchaggani Moshi Kilimanjaro Tanzania na anayeishi kati ya Tanzania na UK London" Kwa kusema kweli na mshukuru Mungu sana na Mama yangu Mpenzi Augustina Lyimo kwa kuweza kunifunda vyema nikafundika" kwani Mwanamke yoyote ambae hajui kupika ,kufua ,kwenda sokoni ,kufanya usafi nyumbani hafai kabisa" Mbuta Nanga!!na mimi nimejifunza hayo yote tangu utotoni ,na napenda sana mambo ya mapishi hasa nyumba safi " yani magari yote chukueni mimi niachieni nyumba na usafi ,kupika na hasa kupiga nguo pasi .na mwisho wa siku kuandika" nikimalizana na kufanya hayo yote ni kupiga picha yani haipiti siku nisijipige picha na najipenda sana sana Hasa Matiti yangu nayapendaje..hahhahahaa" next tizama picha I know nyote mnataka kuyaona ee" anyway kuleni kwa Macho my dears na subirieni my Birthday and your Flora Lyimo Fashion Police Blog Birthday itafikisha miaka mitatu.COMING SOON !!Kaeni mkao wa kula Cake Ndafu na mbege kwa kwenda mbele,Mbuta Nanga!!
 Mnapaona eee,,yani hapa ndo penyewe ikiwa unataka kuja kupata mambo ya Samaki,yani utadhani upo Tanzania kando kando ya bahari"
 Wafanyakazi wakifanya kazi yao ipasavyo !!
 Hapa wakiwa at Flora Lyimo jikoni tiyari kwa mapishi yake"unahakikisha umewaosha vizuri na kuwatia viungo vyake ulivyovipendelea wewe mwenyewe"

 Hapa unaanza kuwakatakata ikiwa huwapiki wakiwa wazima'hakikisha umewakatakata vipande upendavyo ukiwa hujawakaanga,usiwakaange kwanza alafu ndo uje kuwakatakata"

 Ushauri wangu ningekushauri tumia hii Jumbo Fish stock.yani utajirambaa"
 Ukisha wakatakata hivi tia viungo vyako na uache kwa muda kama lisaa au hata nusu saa ni sawa tu" viungo vyake vitakuwa vimekoleana vilivyo"


 Hapa umesha wakaanga sasa ni tiyari kwa kuliwa au kuugwa kwa mapishi yako upendeleavyo wewe mwenyewe"


 Mapishi yakiendelea jikoni huku Mchagga akiwa na kambege chake kando"JD Jack Daniels ikifanya kazi yake na Taarabu song hasa Ule wimbo wa Pole Samaki by: the King of mduara" yani nikiwa na pika samaki ni lazima niusikize huo wimbo najisikiaga kama Dunia yote ni yangu" Ruwa Mangi"

 Naipenda sana hii sahani yangu ya samaki! mwaionaje" nzuri eee"mwanamke usafi na vyombo visafi"

 Huku ni kwa ndani kule kwenye Blue ni kwa nnje!!

 Hapa ndo penyewe sasa, yani samaki wa mchuzi ukitaka kupata utamu wake ,mkaangie kwenye mchuzi na siyo unakaanga mchuzi peke yake alafu unamiminia mchuzi juu ya samaki wakati wa kupakua"yani hutopata ule utamu wake na mwisho wa siku utajajikuta hata samaki wenyewe hawajaiva na kufunikwa kwa kununuziwa mchuzi juu badala ya mchuzi kukaangiwa pamoja na samaki" Anyway hayo ni mapichi yangu na vilivyondani ya mchuzi huu ni vitu vingi vikiongozwa na fresh lemon juice"
 Yummy " yani nawatamanishenije" polenii"
 Samaki in mchuzi unaotawaliwa na Lemon Juice" u just have to jaribu alafu utaja niambia umependa hukupenda"

 Wameivaje sasa ,alafu usiwe unawakoroga koroga sana ili usije waponda ponda samaki" unawakoroga koroga taratibuu"
 Sasa nakukaribisha mezani " yani hapa mezani panahusuje sasa!!
 Hapa hafunguliwi mgeni mlango mpaka nimalize kula aisee chakula kitamuje !! Wali kwa Samaki wa mchuzi uliotawaliwa  na lemon juice"

Haya mauwa yangu nilihama nayo nyumba niliyokuwa naishi tangu 2006 yakiwa ndo madogo na mpaka leo ninayo na bado yanastawi sana sijui yanakunywa hizo mbege hapo taratibu bila kujua" maana zipo nyingi hazihesabiki mbege kwa mchagga hapa eti eee"
Hapa enjoy wimbo huu wa Samaki jamani nimechezaje sasa ,na maneno yake usipimee!! Pole samakii" Sasa ukihitaji kupikiwa ,kukaangiwa hawa samaki wewe niambie nakununulia na kukukaangia bei ni wewe tusikilizane na uje kuwachukua pia" whats app +44 7787471024" 

3 comments:

 1. Hеllo, everything is going ωell herе
  and ofcourse every one is sharing informаtіon,
  that's truly good, keep up writing.

  Stop by my webpage Highly recommended Site

  ReplyDelete
 2. mwanamke mapishi na nyumba mama wa kichaga kweli atakae kuowa itabidi alipe mahali mala mbili..

  ReplyDelete
 3. nimeyamisije machalari yako mamii,,i cant wait for your birthday na blog'kwa nini hujatumalizia viungo vyote ulivyoungia hawa samaki mchuzi ...mbuta nanga"

  ReplyDelete