MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS
CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com
FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Monday, 30 September 2013
BY:FLORA LYIMO ~ HOW TO LOOK SEXY AT HOME'' WEEK YA TATU'' MWANAMKE KUJIAMINI NA FLORA LYIMO ANAJIAMINIJE''MBUTA NANGA!!
YANI HAKUNA KIZURI KAMA KUKUWEPO AT HOME..FEEL SEXY AND LOOK SEXY AT HOME KWA RAHA ZAKO NA KAMA MPENZI WAKO YUPO MBONA HATA MABAA ATAYASAHAU ? MBUTA NANGA''KINA DADA/MAMA JIFUNZENI TO LOOK SEXY AT HOME NA SIYO KWENYE PARTY PEKE YAKE ''KWANI KULE MNAKWENDA LOOKING SEXY TO KILL NA WAKATI MPENZI /MMEO UMEMUACHA NDANI KWA KITU GANI ? HIYO NDIYO SABABU WENGI WENU MNAACHIKA'' DO THINGS AT HOME''SIKILIZA MZIKI MZURI ,PIKA CHAKULA KIZURI ,PATA KINYAJI CHAKO KIZURI '' PUT ON YOUR SEXY CLOTH DANCE THE DAY OR NIGHT AWAY ''NA USIJISUMBUE NA MIWANAUME ISOJUA NINI MAANA YA KUPENDA AU KUPENDWA'' YANI TUPA KULE KABISA''NA ENDELEA KUAMINI DUNIA HII HAKUNA SHA UMRI WA CHOCHOTE UMRI UPO KWA KUVUNJA SHERIA TU'' MENGINE IS JUST NOTHING''NA WAKO MWENYE TABIA ZA KUFANANA YUPO ONE DAY UTAMPATA SO WEWE ENDELEA KUFANYA YAKO''KWANI MAISHA NDIYO HAYAAA 'UNATOKA KWENDA SHOPPING''' NA UNABAKIA HUKO HUKO KURUDI NYUMBANI NI MATANGA''RUWA MANGI '' ISHI MAISHA YENU JAMANI NA FANYENI YENU'' ANYWAY ''ENJOY THE SONG'' PANAPONIHUSU PATAMUJE''
FLORA LYIMO FASHION POLICE 'MBUTA NANGA' HABARI NDIYO HIYOOOOOOOOO'THE TOP IN TOWN '' AT HER LONDON HOME'
NDIYO MPANGO MZIMA WAKUFANYA KAZI ZANGU AT MY LONDON HOME''
I LOVE MY NAME''''NIKIONA HIVI I JUST LOVE ME MOREE''''RUWA MANGI''
SASA WALE WA LONDON MNAONICHUKIA ''ALAFU MNAANGALIA TV 'MARA MATANGAZO YA BIASHARA YANATOKEA NA NDIYO HIYOOO''FLORA ''FLORA ''FLORA THE TOP IN THE WORLD''' MNAZIMA TV AU ''MNACHUKUA MKATE NA KUNIPAKA ALAFU MNANILAMBAJE'''MMMMMMM''FLORA FOR EVERYONE!! MBUTA NANGA!!
The red nail and red lip on you Flora is the best ''never change it'' Also I JUST LOVE WHAT YOU DO IN YOUR BLOG'' have you thought of your own glamour magazine? will ring you about it''xox
Napenda unavyojiamini, usiishi wanavyotaka watu ishi unavyopenda wewe my lav, maisha yatakua raha mustarehe!
ReplyDeletemwanamke una confidence ajabu,hizo za shopping na mimi ndio zangu nikitoka sijuagi kurudi kwa kweli.mbuta nanga
ReplyDelete
ReplyDeletehi darling..
your pics on your blog are driving me crazy.. you wanna get us blind right? lovely pics..mwuahh
The red nail and red lip on you Flora is the best ''never change it'' Also I JUST LOVE WHAT YOU DO IN YOUR BLOG'' have you thought of your own glamour magazine? will ring you about it''xox
ReplyDeleteyappppppppppppppp nimejifunza kitu..how to look SEX at home.wawooooooooooooooooooo...mbuta nanga Flora Lyimo.
ReplyDeleteTHANKS MY DEARS ..................UMEONA EEEEE...NDIYO HABARI YA MUJINI ''MBUTA NANGA''
ReplyDelete