The BIG Reveal: Kim Kardashian has posted a saucy snap of herself in a white swimsuit with the caption '#NoFilter'
Kwa wale Watanzania hodari kwa kutukana watu wakiyafanya yao'' hivi mmejiuliza ni kwanini huwezi kuona picha kama hizi kwa hao mnao wasema ni wasichana wadogo na wenye sura nzuri na ambao ndiyo wanaofaa kubakwa? Ona sasa wanaojiamini wengi wao ni over 30's'' Chezea sie''yani mara nyingine Mimi natamani kutokujulikana hata kama ni Mtanzania kwa yale ninayoyasoma kutoka kwa Watanzania wenzangu'' Ila kwasababu mimi ni Mtanzania alisi niipendae nchi yangu kupita maelezo ''nimeamua kujitolea kuyabeba matusi yote Duniani na kuhakikisha HATERS wote wamekufa kwani watakufa kwasababu ya yale yote wanayonitukania ndiyo ninazidi kuwaongezea na pia baadhi ya MASTAR DUNIANI NAO WAMEFUATA NYAYO ZA FLORA LYIMO NA KUZDISHA SEXY PHOTOS IN MITANDAONI'' R.I.P. HATERS''YANI LAZIMA MFEEE''NA MESHAKUFAA'' MBUTA NANGA''
TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA DM''
No comments:
Post a Comment