MR &MRS MIDEGO ''PENDEZAJEEEE''WAKA WAKA WIFI YETU ''HONGERA SANA KAKA YETU ''MWANAUME WA LEO ANAHITAJI KUOWA NA KUTULIA'' AND YOU JUST DID THAT'''BLESS NYIEEEEEEEEEEEE'''''''
MWANAMKE ......................HEBU MALIZIENI JAMANI SHE JUST LOOK GORGEOUS NA MME WAKE ''YANI HONGERENI SANAAAAAAAAAAA'''
MY GIRL NAMPENDAJE''JUZI NILI MINDDDDDDDDD''ILA LEO NIMEKUONA AND I WAS LIKE''GORGEOUS ''THE TANZANIA SUPER MAMA WA LONDON NDIYO HUYOOO''AMINI MPENZI HUJUI WATU WANAVYO KUMEZEAGA MATE''KWA KIMAVAAZI NA KWA KI'MKE MTULIVU EVER'' YANI YOU NEED AWARD'' FOR MKE MWEMA IN LONDON ''
FAB....HUYO DADA KULE NYUMA MWENYE RED 'MNGEMUITA PIA 'MPIGE PICHA JAMANI ''WATU WAMEPENDEZAAA'KIHARUSI ZAIDI'' THIS IS HOW TO DO IT''MASTAA WA HOLLYWOOD 'BILA HOLLYWOOD''MBUTA NANGA'
YANI SI MCHEZO ''YOU SEE TANZANIA TUNAWEZA JAMANI 'ONA MLIVYOWEZA ILA MPAKA FIMBO YA FLORA LYIMO FASHION POLICE''HAHHAHAAA'' I LOVE NYIE WAPENZI 'MSIDHANI NAWACHUKIENI ''STAY BLESS ALWAYS'''
SINA LA KUONGEZEA''FAB'''
FAB ''YANI SIMMEONA SASA''KUMBE MLIHITAJI FIMBO EEE'MBUTA NANGA'' HAYA WATOTO WAZURI LEO MME NIFURAHISHA MAMA YENU 'AKA YOUR TOP IN TOWN FLORA LYIMO FASHION POLICE''' JESTINA (katikati pichani hapa) AKA MUKE YA MERU HEBU TUWEKEE PICHA ZAKO KWA YOUR BLOG AU NITUMIE UNA MY EMAIL: YANI HIYO NGUO NI HATAREE'KAMA WALE MA 'STAR WA HOLLYWOOD''YOU KNOW YOU CAN DO IT'' AND UKWELI LAZIMA NIWAAMBIENI '' HONGERENI SANA''MSI ISHIE HAPA HAPA ''DO IT ALWAYS MY DEARS'''
SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII'' DOGO LETU kulia''YANI UMETOKA HATAREEE''
TENAAAAAAAAAAAA'''''''''THIS IS HOW WE DID IT''NA NIMEWAKUBALII''
MAMBO YA HARUSINI YA ISMAL MIDEGO AND AYDA BUNU''YANI ON EID MONTH KABISA''SO BLESS MY DEARS''BE BLESS ALWAYS'' AND HAPPY EID' |
FLORA LYIMO FASHION POLICE " ALAFU WEWE ULOSEMA PICHA HIZI SITOZIPATA NA HIZI NI NINI ?? YANI HAPANA CHEZEA TOP IN TOWN MIE'' SIBAHATISHI KABISA''
NYAU wewe wacha kujipendekeza achia comments.................flora ndiyo maana hujaalikwa hawa siyo watu wako kabisa'na wanakuonea madonge hao'wacha tuwapashe kidogo yani bila comments za matusi hapanogi' na yule mvuta dirishani mbona haujamuweka''kiruuu''
ReplyDelete