MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS
CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com
FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Saturday, 16 November 2013
BY:FLORA LYIMO~ BREAKING MAPENZI TELE TELE NEWS''HE LOVE IT SO HE PUT THE RING ON IT'' Patrycja Kassmoddy and Kasongo Kassmoddy Got Engaged'' CONGRATULATIONS MY DEARS!!
ENGAGEMENT OF PATRYCJA AND KASS'' YANI NDIYO THE HABARI YA MUJINI'' KASONGO I HOPE HAPO NA GOTI UMEPIGA ''AISEE HONGERA SANA KAKA'' HATUA YA UZEENI NDIYO HIYOO ''HAKUNA MAMBO YA UJANA AU KITOTO NOW ''' MBUTA NANGA''
THE RING' DIAMOND KWA KWENDA MBELE''MWAONA EEE,HAPA LAZIMA USEME YESSS'
UKIPENDA UMEPENDA JAMANI '' SIMNAONA MPORA WETU ANAVYOJITOLEA KUONYESHA MAPENZI TELE TELE EEE'' SIYO MCHEZO JAMANI IT MUST BE LOVE''
SUPPORT MOTO MOTO ''NAWAONA EEEE'''
HAPPY PEOPLE NICE TO SEE YOU MY DEARS'' NA MPORA WETU KARIBU SANA JAMANI ''
AAAAA.HOW LOVELY JAMANI '''RAHAAAAA YA KUOLEWA NDIYO KAMA HIVI ''SIYO ZILE ZA KIWASI WASI 'MBUTA NANGA'' ANYWAY 'BACK TO MR & MRS TO BE SOON ''JAMANI KASS NAWATAKIENI ALL THE BEST ''BLESS NYIE ALWAYS MY DEARS!!
No comments:
Post a Comment