MBUTA NANGA'' MTANZANIA AHUSIKA KWA UTUMWA HUU WA KINYAMA''IN LONDON BRIXTON'' KWA MIAKA THELATHINI ''INATISHAJE ? NA WALIWEZAJE HADI LEO ?RUWA MANGI''
INASIKITISHA SANA KUIONA TANZANIA YANGU KWA MAMBO YASOKUWA MAZURI KWENYE TV NA HABARI ZINAZOTISHA DUNIA'' HOW DID THOSE WATEKWA NYARA WALIWEZA KUKAA KIMNYA MIAKA YOTE 30 YEARS BILA KUSEMA AU KUTOROKA ? AND WAPO WATATU SIYO MMOJA''? YANI NAPENDA SANA KUFUATILIA HII HABARI MAANA INATISHA MNO NA PIA SIJAAMINI NI HAPA HAPA LONDON UNAWEZA KUMSHIKILIA MTU NA KUMTESA KWA MIAKA 30 BILA KUSTUKIWA ? YANI BADO SIJAAMINI KAMA WANAWEZA KUWEKWA HIVYO BILA WAO WENYEWE KUJITAMBUA AU KUJIRUSHA POLICE WAKATI WAPO NNJE ''AU INAWEZEKANA HAWAJAWAHI KUTOKEA NNJE KWA MIAKA YOTE THELATHINI ? YANI KWELI ULAYA -LONDON INAWEZA KUWA KAMA ZILE NCHI ZINGINE AMBAZO HAMNA UTARATIBU WA KUITA 999 POLICE NA WAKAJA HADI MLANGONI KWAKO AU ULIPO ? MAANA IN TANZANIA HAKUNA HUO UTARATIBU 'ETI NIPO KULE MOSHI NIPIGE SIM KITUONI NA WAJE HADI NYUMBANI KWETU AU MAHALI NILIPO''I DONT THINK TUNAO HUO UTARATIBU AU UPO JAMANI MLIOPO TANZANIA HEBU NIJULISHENI ''I WAS THERE MWAKA JANA NA NIKAULIZA POLICE PALE MOSHI WAKANIAMBIA HAKUNA HUO UTARATIBU KWANI BARABARA ZENYEWE MBAYA NA MITAA HAINA MAJINA NA POST CODE KAMA VILE HUKU ULAYA''WALINIAMBIA HIVYO 'ILA MIMI NILIKUWA NIMEPEWA ULINZI ''LOL'' ANYWAY 'BACK TO HII HABARI INAYOTISHAA'' SUSPECT ARE OF INDIA AND TANZANIA NA WALIKUJA HAPA MIAKA YA 1960 'WANAISHI BRIXTON IN LONDON ''YANI HIYO BRIXTON YENYEWE INATISHAJE''? KULE ZAMANI HIZO NASIKIA KULIKUWA NI HATAREE ILA NOW DAYS NASIKIA KUMEKUWA AFADHALI ''MPAKA SASA HAIJULIKANI JINSI WALIVYOKUWA WANAISHI ISHI 'BUT HAYO YOTE SASA HIVI YANAFANYIWA UCHUNGUZI KWA MAJIRANI KUULIZWA IKIWA WANAWAJUA NA PIA IKIWA WAMESHAWAHI KUONA CHOCHOTE KISICHORIDHISHA'' MBUTA NANGA''NITAWALETEENI HABARI ZAIDI ''KWANI NAPENDA KUWAJUA HAO WATU NA I HOPE WATATAJWA NA PICHA ZAO KURUSHWA HUM..AND I THINK NI WAZEE KWA SASA HIVI ''MAANA MIAKA YA 1960 NA SASA TUPO 2013 NI MIAKA MINGI SANA SITINI AU SABINI HIVI''
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment