KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday, 23 November 2013

BY:FLORA LYIMO ~ KICHUPI KIPYA CHA SHILOLE aka MALKIA WA VIUNO 'AMBACHO ATAINGIA NACHO UK 30/11/2013 HICHI HAPA''MBUTA NANGA!!


 FLORA LYIMO AKIJIKUMBUSHA ENZI ZAKE ALIPOKUWA KAMA MDOGO WAKE KITANZANIA ZAIDI MALKIA WA VIUNO SHILOLE NA KICHUPI CHAKE KIPYA HAPA''
 YANI I CAN ONLY ASK NYIE WENZANGU MMEJIANDAAJE KWA KULITOLEWA HILI BARIDI LA WINTER 2013 UK NA MALIKIA SHILOLE NA MFALMU AWA MDUARA AT'' ?? YANI FULL MAJOTO BADALA YA BARIDI '' BLESS NYIE WAPENZI NA I HOPE MTIHANI TULIOPEWA NA WAHUSIKA WA EVENTS HIZI 'MTAFANIKIWA KUPATA VEMA NYINGI BADALA YA MAKOSA'' MBUTA NANGA!! MIMI NAFIKIRIA KUJIKATA NUSU ''ILI NIWEZE KUWARIDHISHA WOTE 'KWANI WOTE NA WAPENDAAA''NA NINGEPENDA NIHUDHURIE KOTE KOTE KWANI WATANZANIA NDIE SIE WA KUHUDHURIA EVENTS ZETU ZOTE ZA KUTUHUSU WATANZANIA UK NA TUNAOTAKIWA KUINUANA NA KUSIKILIZANA ' TUYAZINGATIE KWANI NI MUHIM JAMANI 'HASA PALE PANAPOKUWA NA EVENTS ON THE  DATES MOJA'' JARIBUNI KUSIKILIZANA NA HASA KUWASIKILIZA WALE WALIOTANGULIZA BIASHARA AU EVENTS HIZO ''KWANI SIKU ZOTE USHIRIKIANO NDIYO USHINDI WA VITA''' RUWA MANGI' NILISHAWAHI KUWAAMBIA TENA HAPO MBELENI KWANI MNAOHUSIKA NA KUTULETEA WASANII HAKIKISHENI KWAMBA HAKUNA VITU VINGINE VINAVYOINGILIANA ON THAT DAY 'NA KAMA VIPO 'BASI NAMNAWEZA KUVIUNGANISHA MAANA WASHABIKI NA WANAOWAPENDA NI WALE WALE WANAOTAKA KUHUDHURIA KOTE KOTE'' FIKIRIENI NA MJIPANGE VIZURI ILI MPATE KUFANIKIWA NA VILE VILE KUONYESHA WENZETU KWAMBA NASI WATANZANIA SHUGHULI TUNAZIWEZA'' AMEN'''RUWA MANGI 'JAMANI TUNAWEZA NA TUTAWEZA KWA KUSHIRIKIANA NA KUSIKILIZANA'' I LOVE YOU MY PEOPLE''NA HABARE YA MUJINI NDIYO HIYOO''HOT NEWSSSSSSSSS!!! 
ENJOY KICHUPI HICHO KIPYA CHA SHILOLE''NAKOMAA NA........!!!!
 CHEZEAAAAAAAAAAAAAAAAAA''EEEE''KIONO CHA FLORA LYIMO KINAMAUTAMU YASOKWISHAAA WALA KISICHOMEA MIFUPA' WAPI SHILOLEEEEEEE''YANI UK INAIMBAJE SHILOLE''''HAHHAHAHHA''


HABARI NDIYO HIYOO'' FLORA LYIMO AKIJIANDAA FOR THE KICHUPI KIPYA CHA SHILOLE'' ILA HAJUI APANDE AU ASHUKE ,KWANI HIZI EVENTS ZIMEGONGANAJE''BUT 'WHO KNOWS ''LETS PRAY FOR UZIMA  UPENDO NA UMOJA ZAIDI IN TANZANIA NA KWA WATANZANIA POPOTE PALE
WALIPO'
SASA SOMA VIUNGO VYA SIKU YA SHILOLE KUTUA UK NA KICHUPI CHAKE KIPYA''
Join us on Saturday 30th Nov 2013 at the Biggest Night in Milton Keynes as we present Made in Tanzania featuring King of Mduara AT and Malkia wa viuno Shilole Live on One Stage at Kiln Farm Pub Miton Keynes Dj on The Night Myself Shaheim and RashBrown Hosted by BongoDeejays and Didas Ents Bringing you Mduara Special this is gonna be another unmissable Night Now you know Get your Outfit Ready and Spread the Word..!

1 comment:

  1. Dahhhhhhhhhhhhh''Flora Lyimo wewe ni nyota yao ...umemuona Shishi beibe nae kaanza kukuiga eee''uliona vaazi lake la jana...mbuta nanga'upo juuuuuuuuuuuu'''

    ReplyDelete