TAFADHALI NAOMBA UANDIKE LOVE HAPA CHINI OR COMMENT LOVE KWENYE PICHA HII 'KWANI HAO WATAKAO ANDIKA LOVE'' NDIO NITAKAO WAFUATILIA HUM FACEBOOK NA POPOTE NA VILE VILE KUSHIRIKIANA NAO KWA SHIDA NA RAHA'' NA KAMA KUNA CHOCHCOTE PIA CHA KUSAIDIANA KIMAWAZO AU HATA KIMKOPO WA HELA AU CHOCHOTE PALE TUTAKAPO WEZA KUSAIDIANA '' NATAKA KUFANYA HIVYO MAANA NINAKUWA NA MISS SANA MAMBO MENGI YA WATU AMBAO HUWA WANANIJALI '' KWA HIYO NATAKA MFANYE HIVI ILI IWE RAHISI KWANGU KUWAFAHAM NA KUWAFUATA ,KWANI KAMA MNAVYOJUA NINAFANYA KAZI NGUM SANA ''KUJIAJIRI SIYO KAZI RAISI ASIKUDANGANYE MTU ''HASA KUJUA NINI CHA KUNUNUA NA KUUZA '' KWANI UKISHANUNUA UMENUNUA NA KAMA HUJAUZA NI HASARA KWAKO NA SIYO YA WAUZAJI WA JUMLA'' ASANTENI SANA KWA URAFIKI WENU MWEMA KWANI KUNA AMBAO NIPO NAO HUM TANGU NILIPOJIUNGA NA FACEBOOK IN 2009 NA MPAKA SASA TUPO PAMOJA..GOD IS GREAT 'TUZIDI KUOMBEANA NA KUTENDEANA MEMA HASA TUNAPOANZA MWAKA HUU ,NI VIZURI KUTIZAMA TULIKOTOKA TULIFANYA NINI KIZURI NA KIBAYA,NINI CHA KUACHA NA NINI CHAKUENDELEZA ,BE BLESS ALWAYS NA PAMOJA SANA WATU WANGU WA UKWELI '' FLORA LYIMO ''
- SO MY DEARS MMEONA WANAVYO WEKA COMMENT HIYO YA LOVE HAPA'' YANI HAO WATAKAO COMMENT LOVE IN THIS PHOT HAPA IN FACEBOOK NDIYO NITAKAO KUWA NAHANGAIKA NAO KWA MEMA NA MABAYA''IN ANYTHING' KWANI HIVI NI KUJIRAHISISHIA PALE AMBAPO HUWA NAKOSA KUWAJULIA HALI MARAFIKI ZANGU WA UKWELI NA KUTOKUWEZA KUSHIRIKI NAO KATIKA MAMBO MENGI ''SASA MWAKA HUU UMEKUJA NA MABADILIKO HAYA' SO HII POST YA HII PICHA NITAKUWA NAIPOST KWENYE FACEBOOK WALL YANGU MARA KWA MARA'' NA HAO HAO NDIO WENGI WAO MTANIKUTA NIKISHIRIKI NAO MAMBO MENGI '' ASANTENI SANA NA ENDELEENI KUWEKA LOVE ZENU HAPA '' AGAIN ..HAPPY NEW YEAR MY DEARS'
- FLORA LYIMO FASHION POLICE 'PENDA NYIE MINGIIIIIIII!!
No comments:
Post a Comment