KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 4 December 2014

WHATS NOW ? ZILE PICHA ZA DIAMOND NA TUZO ZAKE KULE AFRIKA KUSINI AKIZUNGUKWA NA WANAWAKE WAKE WAPENZI WA MOYO WAKE'' WALIPENDEZAJE SASA'' MBUTA NANGA'' NI MWENDO WA PROJEKTOOO!!!

 MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platumz’ ametwaa tuzo tatu za Channel O usiku huu nchini Afrika Kusini. Tuzo hizo ni; Most Gifted new comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One!
Hizi ndio tuzo tatu alizoshinda Daimond platnumz 

Bi Sandra nae hakuwa nyuma alikuwa bega kwa bega na mwanawe kwenye tuzo hizo za CHOAMVA''SHIKAMOAA MAMA'' UMEPENDEZA HATAREE'' 
Diamond Platnumz Mama Nasseb and Zari theboss lady wakiwa na tuzo zote 3
 Diamond na Zari wakiwa kwenye red carpet CHOAMVA 14  WACHA PROJECT IENDELEE'MBUTA NANGA'
 Mr president akiwa na ma meneja wake'
 Diamond Platnumz naWANAWAKE WAPENZI WA MOYO WAKE ''NI  mama yake pamoja na Zari (kulia)wakiomdoka ukumbini baada ya tuzo
Mama Naseeb akiwa na Zari CHOAMVA 14 
 Timu nzima ya wasafi ikipeperusha bendera ya Tanzania kwenye tuzo hizo za CHOAMVA 14 
PROUD MOMENT''Wakati akipokea moja ya tuzo zake 
Hizo hapo mmeziona 'NI SHIDA''
Rais wa wasafi akifanyiwa mahojiano na Ayo TV''
KWA KWELI NINA JISIKIAGA FURAHA SANA NIKIONA MAENDELEO YA WATANZANIA WENZANGU HIVI ''HASA PALE UNAPO WASHUHUDIA BIDII ZAO NA MWENDO WAO WAKUZISAKANYA PESA'' I'M SO PROUD OF YOU DIAMOND'' 

No comments:

Post a Comment