Wewe ulie niambia ni kwanini nikasema hivyo ''sasa nadhani umejua ni kwanini ''' kwa kweli mimi nilipokwenda kwenye mkutano ule wa Chadema wala sikuenda kama kujiunga wa la nini'''nilienda kama Blogger na kutaka kujua ni kwanini Tanzania walituangusha'''OLYMPIC NA JE TANZANIA HATUNA VAAZI LA KITANZANIA??'' HILO NDILO SWALA NA KITU RASMI KILICHONIPELEKA NA MWISHO WASIKU KUJIKUTA KUBAKWA NA KIONGOZI WA MTUKANO HUO GODBLESS LEMA NA KARIBIA KUNIUWA''
Ndiyo maana na huu wa CCM nikasema ''
NANI AENDE AKABAKWE TENA''MBUTA NANGA!
Na isitoshe siyo kwamba Watu hawajui hili kunitokea wanajua na je wamechukulia hatua gani ? na isitoshe natukanwa nikiambiwa kwamba ni CCM WALINITUMA? How come now HAO WA CCM PIA WAMEKAA PEMBENI WAKISOMA NA KUCHEKELEA MIMATUSI ILOKWISHA NA WAKATI NINAYOTUKANWA KILA UPANDE? KUHUSU MIMI KUDAI NA KUTAKA WATANZANIA WENZANGU WAJUA KWAMBA HUYU GODBLESS LEMA NI MBAKAJI NA HAFAI UBUNGE NA WALA HAFAI MAISHA YA MWANADAM YOYOTE'' HATA MNYAMA'' YANI SITOCHOKA KUSIMAMA IMARA NA MPAKA MY JUSTICE DONE''' WATANZANIA WENZANGU JIONEENI AIBU KWA MATUSI MNAYOYAJENGA KWA MTU ANAE FANYA YAKE NA VILE VILE KWA VITU AMBAVYO NI VYAKUKEMEWA NA KUCHUKULIWA HATUA'' SHERIA YA SERIKALI KUTUMIKA NA SIYO SHERIA ZA RAIA KUTUMIKA'''
Na sasa niliyo yasoma huko Facebook sijui yana ukweli gani''soma mwishoni mwa picha hizi'' na Fikirieni kama UNGEKUWA NI WEWE UNGEJISIKIAJE? BADALA YA KUSHABIKIA NA KUTUKANA MATUSI''' TUPENDANENI NA TUWE KAMA NDUGU MOJA''
Flora Lyimo katikati pichani hapa nikifanya yangu ''sijatumwa na mtu yoyote nimefika mwenyewe kufanya yangu haswa yakurusha kwenye Flora Lyimo Fashion Police Blog'' Blog ya Ukweli inayosema ukweli mtupu''
MBAKAJI GODBLESS LEMA MBUNGE WA ARUSHA TANZANIA''AKIMNYANG'ANYA FLORA LYIMO T-SHIRT YA CCM ''AKITAKA ASIPIGWE PICHA NAYO ''HUKU AKIMUAMBIA FLORA ANATAKA AICHANECHANE''''NDIPO WAPIGE NAYO PICHA''
HIYO NDIYO HABARI NA BAADHI YA WALIOBAHATIKA KUNASWA NA CAMERA YA FLORA LYIMO '' MPIGA PICHA WA UKWEE'''
SASA SOMA HABARI HII KUTOKA HUKO FACEBOOK'







