MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Friday, 28 February 2014
BY FLORA LYIMO ~ UNAWEZA KUTIZAMA THE MBONI SHOW ALIPOKUWA ANA INTERVIEW THE SUPER STAR LIVE DUKANI KWAKE LONDON OXFORD STREET AMBAE NDIYO THE TALK OF MUJINI FLORA LYIMO FASHION POLICE,DESIGNER ,TRADER,PHOTOGRAPHER AND FOR SURE THE TOP BLOGGER WA MAUKWELI TU' MBUTA NANGA!!
WACHA MOVIE IENDELEEEEEEEEEEEEEEEEE'''MBUTA NANGA'NASEMAJE YOTE''
HABARI YA MUJINI NDIYO HIYOO'' DA'MBONI MASIMBA NA DA'FLORA LYIMO '
Yani hawa mastaa ni nomaaa' Msiwachezee kabisa maana ni wasema Ukweli na wasiokuwa na woga kabisa'Yani ni mpaka kieleweke and I tell you in Tanzania we need Kina Dada/Mama kama hawa hapa pichani na nafikiri mshaona wachache ambao wapo kama hawa ' Na kama na wewe unataka Tanzania yetu isimame kwenye Mistari iliyonyooka kama Mataifa mengine ''Jifunze kufanya kweli ,Upendo ,Umoja yani Tupendane na kuvipenda vya kwetu hasa to support each other '' You know that is what mataifa yale mnayoyamezea mate wanafanya''Tizama UK -London 'ni kwanini kila Mtu anataka kuja UK-London ? Jiulize ni wangapi wamekufa maji na kwenye malori kwa kukosa hewa juu ya kujificha mpaka wafike UK-London '' Yani I can say 'Mungu aziweke Roho zao mahali pema kwani masikini ya Mungu hawakujua UK London ni Mateso makubwa tena hasa pale mtu hata Kizungu hujui na ujuzi wakazi huna'' Yani ni majonzii''Kaeni huko Jamani hata tuliopo huku tunatamani turudi Ila ndiyo hivyo tena Wengine kama Flora Lyimo ndiyo her Second Home Bila kuisahau Nchi yangu Tanzania'' Yani lazima nirudi Home na huwa nakujaga Mara kwa Mara kwani hiyo ni Bahati yangu Mungu alinipa tangu mwaka 1994' nilipokuja UK-London yenyewe 'My dears na hata nikifa leo Jamani hakikisheni mmenipeleka Moshi Kilimanjaro Kwasababu sijaolewa siwezi sema kwa Mtu Fulani maana sisi Wachagga tunapoolewa ndiyo basi ni huko huko ulikoolewa hata ukifa utazikwa huko huko kwa Mmeo alokuowa'au Makaburini kama mnavyo ona Wengi siku izi'' na Msiogope Vifo maana ndiyo hivyo tena tushaambiwa tujiweke tiyari maana hatujui siku wala saa yakuja kwake Bwana wetu Yesu Kristu'na Vifo ni hivyo hivyo'' Hapa siyo my Home'' hapa UK-London nayasaka manoti tu''Ruwa Mangi'' Ok Nyota zangu mpaka hapa ndipo nimefikia Mwisho for today ''kaeni mkao wakumsikiliza Flora Lyimo ndani ya TV's aka THE MBONI SHOW''
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG'
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment