KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 7 March 2014

BY FLORA LYIMO ~ HAPPY INTERNATIONAL WOMEN'S DAY aka WORKING WOMEN'S DAY'' NAPENDA KUONGELEA KUMHUSU MY SUPER HARD WORKING MAMA FLORA BAHATI LYIMO TODAY'' I LOVE HER SO MUCH SHE IS MY EVERYTHING''RUWA MANGI''

Flora Lyimo (pichani) Mtanzania alisi aipendae Nchi yake kupita maelezo'
NAPENDA KUWAPONGEZA KINA MAMA WOTE DUNIANI HASA TANZANIA'
I WISH YOU A VERY HAPPY INTERNATIONAL WOMAN'S DAY 08/03/2014 WHICH IS ORIGINALLY CALLED' WORKING WOMAN'S DAY''
Mungu awabariki sana na kina Mama /Dada tuzingatieni kazi na kuacha kuzaa zaa ovyo'' zaeni kwa mpango ili muweze kuwalea watoto wenu vizuri na vile vile kuweza kukupa nafasi nzuri yakuweza kuyafurahia maisha yako na kufanya kazi ipasavyo''MWANAMKE KAZI NA SIYO KUMTEGEMEA MWANAUME PEKE YAKE''AKACHUME AKULETEE'MBUTA NANGA!!

MY SUPER MAMA PICHANI (kulia ) NDIYO ALINILETA HAPA DUNIANI MWAKA 1974' YEYE NI MIMI NA MIMI NI YEYE'FOR SURE'' YANI I LOVE HER SO MUCH MUNGU NDIE ANAEJUA'
NOW LET ME TELL YOU KIDOGO KUHUSU MY SUPER HARD WORKING MAMA AUGUSTINA BASILEI LYIMO'' YEYE MWEYEWE NI MZALIWA WA KILEMA MOSHI KILIMANJARO''
So '' HII NI KWA WALE MAWIFI WABAYA FULL MAWIVU''SOMA KWA MAKINI HII NI KWENU 'MUACHE HIYO TABIA YAKUMKATAZA KAKA YENU ASIMUOWE FULANI''JE UKIAMBIWA UMUOWE HUYO KAKA YAKO UTAMUOWA?PUMBAVU' STOP HUO UGONJWA KAMA UNAO NENDA KWA DACTARI KANISANI UKAMUOMBE MUNGU AKUONDOLEE''
My Mama alikutana na my Dad which sasa my Dada hatunae tena 'Mungu ampokee na kumuweka mahala pema pasipo na Giza AMEN''
Now'' Walikutana my Mama she was only 16 years Old'' my Dad 26 Years Old'' Now then,, Siunajua tena mambo ya kuolewa unakwenda kwa Familia usoijua kabisa ''yani wewe ni Mmeo anakazi yakukutambulisha huko kwa Familia yako Mpya na Wewe pia kumtambulisha kwa Familia yako'' Lakini sasa Mtihani hutokea pale ambapo hujui Familia zile zitawakubali vipi malengo yenu yakuwa pamoja kama Mme na Mke'' Kilicho mpata my Super Mama ni kwamba 'Wifi zake (Wawili)only aliozaliwa nao my dad hawakumpenda kabisa ,Ila wazazi wake walikubaliana na Mtoto wao na kutaka waowane ''basi Mama na Baba wakafunga ndoa yao na hao Mawifi zake hata kwenye harusi hawakuhudhuria lakini Mbege walizichangamkia balaa''Mbuta Nanga''na mpaka sasa hivi naandika hii''Wifi zake hao na Mama yangu hawaongei kabisa na mpaka my Dad amekufa hawaongei kabisa,yani my Dad kafa bado wapo pamoja japo kunakuwaga na ups and down kwenye Ndoa but hawajapeana talaka na Mama yetu katuzaa watoto kumi na moja'' which Mmoja alifariki MUNGU AMPUMZISHE PEMA PASIPO GIZA'AMEN'' Yani Mama yangu ndie alikuwa anatufanyie kila juu chini tuende shule tuvae nguo nzuri na tusikose malapa yakwenda kanisani na zile chacha za Kenya na Raba za Bata za kwenda shule,My Dada yeye kazi yake nikuleta Nyama Home kwa Wingi maana alikuwa na Bucha lake basi hakuna siku tunakula chakula bila nyama au tunakosa supu na kisusio''
Alafu sijui kama mnakumbuka vile viatu vya kenya vya Chachacha'' I think'hivyo ndivyo vilikuwa vinaitwa''yani mama yangu alikuwa ni Mfanya Biashara Mkubwa sana wakupeleka Vitambaa vile vya kushonea Nguo tulikuwa tunaviita viripilini''Mbuta Nanga'' Now mnajua nimepata wapi ujuzi wa Biashara 'na akirudi anarudi na mikate na mafuta yale ya Kimbo na Vitu vingi vingi vya kutoka Mombasa Kenya '' hadi Mpaka sasa hivi naweza kusema kama siyo Mama yetu sijui kama ningelikuwa hapa nilipo sasa hivi''so that is why 'I have to Talk about her Today and Everyday'Ila siku hizi she don't need to do anything anakaa anakula anahela anazopenda yani mama yangu namuambia sasa ni wakati wako wakukaa na kula tu'' she dont need to do anything kabisa ,na namshukuru Mungu Kanipa uwezo huo wakumpa niwezacho kumfanya aridhike'' na Hela yoyote anayohitaji anapewa'' She knows that'' I love her so much and I thank you God Everyday for her'' Yani I HAVE THE BEST MAMA IN THE WORLD'' HAPPY WORKING WOMEN'S DAY MAMA FLORA' NA KINA MAMA WOTE WANAOFANYAKAZI 'WOTE NOW''MAANA HATA KAZI ZA NYUMBANI NI KAZI ETI EEE''
BE BLESS ALWAYS NA PAMOJA SANA''
Flora Lyimo Fashion Police Blog

No comments:

Post a Comment