KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 7 March 2014

BY FLORA LYIMO ~HIZI NDIZO ZIMEKUWA BEST SELLER ''KARIBUNI KAVA ZA SIM ZA KISASA NA DESIGNER LV'' YANI BEI POWA WEWE WASILIANA NASI''

Basi Mjini ni Mimi naeziuza kwa sana Wahindi wamenifundisha Biashara powa sana na kwa kweli nawaiga Kinoma na kuwafundisheni na nyie Watanzania wenzangu Live'' Biashara ni kupambana na kufuata Upepo''Jueni huwezi kufanikiwa kwa Biashara Moja ''ukiona Mtu kafanikiwa kwa Biashara moja jua keshafanya Nyingi sana zikamuangusha au kumuinua'' Yani asikudanganye Mtu kabisa''Wafanyabiashara wote wakubwa wengi wao wameanza kwa kuuza korosho na magazeti mitaani na vituo vya mabasi ''Ulaya hapa UK wanakuletea Magazeti at your Home enzi zileee''' habari ndiyo hiyoo'' sasa tupigie au whatsapp +44 7787471024 ZIPO ZA AINA ZOTE ZA SIM ZA KILE NA PIA ZIPO ZA DESIGNE NYINGI MAAFURU KAMA LV 'MNAVYOONA HAPA''
KARIBUNI HATA BONGO NITAZITUMA SOON ''

No comments:

Post a Comment