KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday 7 March 2014

BY FLORA LYIMO ~ IT WAS MANGE KIMAMBI BIRTHDAY THIS MONTH 'HEBU MUONENI ALIVYOVISHA FAMILIA YAKE FOR HER BIRTHDAY DINNER '' MBUTA NANGA''

 Mama Kijacho 'Mange Kimambi''Happy Birthday Mama na pia Pole kwa Baba yako Mkubwa anaeumwa 'Mungu yupo na atamponya kwani sala ulizo omba Tumuombee Mungu atazisikiza in no time'' Anyway 'Pia WISHING YOU ALL THE BEST AND ALL THE THINGS YOU ASK GOD TO GIVE YOU IN YOUR LIFE'' HAPPY BIRTHDAY MY DEAR BE BLESS ALWAYS''
 Kapendeza na Mimba yake ya Miezi Tisa hapa jamani'' yani Mungu mwacheni aitwe Mungu'' I think wale wote ambao mshazaa mnajua how it is kuwa mjamzito na hadi kujifungua Mwanao''


 Mama na Mwana'' Yani hii ndiyo sababu sana sana nikamuweka Mange kwenye hii Blog yenu ya maukweli matupu leo'Flora Lyimo Fashion Police Blog' Yani Im so PROUD of you Mange'' kwa kuweza kutokumkataa mwanao kwa sababu umeolewa na Mzungu au Mwanaume Mwengine wa aina yoyote aliekukuta wewe ukiwa na Mwanao au wanao ''yani Wanawake /Dada wengi huwakataa watoto wao kisa ni wamempata Mzungu au Mme wa kuwaowa'' Why do that jamani ?''Just take a look at Mange hapa na mwanae wanavyopendezeana yani is the Best think you can ever do to your Child'' Love them hata kama umempata Mme wa dhahabu au Gold'' Please Igeni Mfano wa Mange hapa'' Be Bless Mange na familia yako '' Yani huwa ni lazima ukiwa unakizuri ninachokijua Moyoni mwangu nitakisema na vile vile kibaya'' hiyo ndiyo habari ya mujini always say the truth''
 I can say ''Bhoke kapendeza sana na Gauni lake 'weldone Mama kwa kuweza kumvisha Ipasavyo siku izi ''and her Hair pia 'yani kila kitu kipo powaaaaaa''I LOVE MY BLACK BEAUT'(ME) Twafanana kila napozidi kumtizama''Mbuta Nanga!! 
 hahahhaa'Shemeji yetu hivyo vidole mwaviona eee''anaonekana mtunduu eee'' mbuta nanga!!
Sasa hebu ona Jamani wanavyopendeeana ,alafu wewe uwe umemkana mwanao unajilia maraha yako mwenyewe na tena bila hata haya unazaa na watoto wengine na huku ukiwakataa wanao wengine''yani wenyewe tabia hizo wacheni mara moja please'' is not nice ,just take a look of hii Familia ya our Star Mange Kimambi na Familia yake''so lovely ''Yani naona aisee hata Mimi my Birthday mwaka huu niifanye hivi ''Just me and my Family ''wacha nijipange fasta fasta maana yakaribiaaaaaa''Ruwa Mangi'' Anyway''Hope nyie mnao wakana watoto wenu mnaisoma hii na kumuiga Mange Kimambi hapa''
Again Happy Birtday and wishing you All the Best utuzalie Mtoto wetu salama'' 
Flora Lyimo Fashion Police Blog

No comments:

Post a Comment